Tetesi: Ruby na Darasa kujiunga WCB

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,283
20,967
Habari ya mjini kwa sasa ni kuwa hitmaker wa ngoma ya mziki na too much Darasa yupo mbioni kutia wino ndani ya WCB

Si huyo tu pia mwanadada mwenye sauti inayomtoa nyoka pangoni ambaye pia ni hitmaker wa ngoma ya Na yule, mwanadada Ruby naye pia yupo mbioni kwenda WCB na atakuwa msichana wa pili kujiunga katika lebo hiyo

Haya sasa Clouds walikuwa wana m'bania Ruby kugonga ngoma zake sasa kama Ruby atakuwa rasmi WCB sijui kama jeuri ya kumkazia kupiga ngoma zake wataipata

Haya sasa wadau mnaonaje wazo la WCB kuwachukua hawa watu je kuna lolote litaongezeka kwa WCB au kwa hawa wasanii ki ujumla ?

1480520539124.jpg

1480520549926.jpg
 
Haya sasa,wako wapi WCB waliomponda na kumtukana Darasa kwa hii ngoja yake mpya?

Unasema Ruby atakuwa msichana wa kwanza kujiunga WCB,Queen Darling ni mwanaume?
Hizo ni tetesi!
Hajajiunga WCB unless likitoka tamko rasmi..

Alafu mkumbuke Darassa ana lebo yake CMG kwahiyo sio kitu rahisi kwake kujiunga WCB..
Alafu "usajili" WCB ulifungwa kwa muda ili kuwasukuma wasanii ambao tayari wapo.. Kwahiyo hii taarifa itabakia tu kuwa tetesi

Ruby mpaka sasa alitakiwa awe amejiunga kitambo sana! Ila kuna vitu vilikuwa havijafikiwa muafaka..

Tusubiri official announcement..
 
WCB kwani wana kitu gani special?
 
vitu gani hivyo mkuu ambavyo hawakufika navyo muafaka?
 
His music was never on itunes .damn people before try arguing with someone use google to get your facts straight
 
WCB hawana ubia na Cloudz, so huwezi kuwalazimisha wacheze nyimbo eti kisa msanii yuko WCB, ila WCB wenyewe sidhani kama wanaweza kumsign msanii ambaye wanajua ana beef na the most powerful media in tz, wakifanya hivyo itakula kwao kibiashara, labda watatue kwanza mgogoro
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom