Nipe Andiko
Senior Member
- Jan 20, 2017
- 133
- 133
Simsikii akivuma siku hizi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heee?Alitukana mamba kabla hajavuka mto
Hata akifa utaendelea kumuona you tube, hongera sana mkuuHili swali la kinaafiki, mi namuonaga Youtube, na mpaka leo Video zake zipo kule, sasa sijui nyinyi mlikuwa mnakutana nae wapi?
Hata akifa utaendelea kumuona you tube, hongera sana mkuu
aliwafanya nini tena huyu shemela wao, nlisikia ni demu wa soudy brownKishapotea hivyo Chezea clouds media ww ukigombana nao umeisha
za chini ya kapeti alikuwa ama date na wote sudy na rugg nahisi walivoachana na boss haikua katka gud terms maana akaanza kuwatemea mapovu kupitia e fmaliwafanya nini tena huyu shemela wao, nlisikia ni demu wa soudy brown