Rubi ya Tanzania ya thamani kubwa Duniani ilienda UK Kihalali au Iliporwa?

tk

JF-Expert Member
Feb 7, 2009
270
6
Kito cha aina ya ruby chenye thamani kubwa kuliko vyote vya aina hiyo duniani kinawezekana kuwa kimetokea Tanzania. Ripoti ifuatyo, inaashiria kuwa ruby hiyo inayokadiriwa kufikia thamani ya £11 milioni sawa na Tshs 20. Bilioni, inamilikwa na kampuni moja ya ujenzi Wrekin Construction ya Uingereza.
Transactions za mwisho kuhusu ruby hii zilifanyika mwaka 2007, hivi karibuni tu. La kujiuliza hapa ni kuwa jee Serikali yetu kupitia Wizara ya Madini inafahamu ruby hii ni kweli ipo? Ilitokaje Tanzania? Ililipiwa ushuru stahili? Na Fedha zilizopatikana toka kwenye mauzo zilirudi Tanzania?
Au ni moja ya wizi wa madini unaoendelea wakupora rasilimali za Tanzania? Hebu Wizara ya Madini iangalie data zake kama ruby hii imo katika kumbukumbu zake!!

Repoti husika

Mystery of a bankrupt British firm with Tanzanian ruby worth cool 20 billion /-ThisDay,
Monday 16th March 2009
THISDAY REPORTER & AGENCIES – Dar es Salaam

A BRITISH construction company that recently went into administration with the loss of more than 400 jobs has declared a ruby from Tanzania, worth an estimated 11 million pounds sterling (appx. 20bln/-) as one of its assets.

Wrekin Construction was due £2m from UK government contracts, but owed more than £3.5m in VAT and other tax bills when it collapsed last week, according to administrators Ernst & Young.
Media reports from London say it now appears the company listed the purchase of the precious stone, the ‘Gem of Tanzania' in its 2007 accounts.

A note in the firm's account books said Wrekin bought the ruby from Tamar Group for a ‘fair value' of £11m. paid in interest-bearing preference shares.

However, investigators are believed to be struggling to find anyone who has actually seen the gem.
Wrekin joint Managing Director, Peter Greenwood, said the ruby is locked away in a safe deposit box, although he added that he has never seen it himself.

Ernst & Young said it was "too early to comment" on the unusual asset, or on reports that the gem revived the company's flagging balance sheet when it was bought. Jewellery experts have poured scorn on reports that the collapsed building firm is the owner of a ruby worth £11 million.
Company documents claim the ‘fair value' of the ruby was assessed by the institute of Gemmological in Italy on August 31, 2007.

However, Loridana Prosperi, one of the institute's senior gemmologists in Milan, said "That is impossible, because we were on holiday on August 31,2007." And she claimed her company never assessed the price of gemstones, only the quality.

Auction house Christies also expressed doubt about the accuracy of Wrekin Construction's claims, revealing the highest recorded price ever paid for a ruby on the open market was just £2.6 million in 2006.

According to Ms Prosperi, an £11 million ruby would be equivalent to world's famous Black Prince, a jewel the size of a chicken egg which is embedded in the British Queen's crown.
Wrekin Construction went into administration earlier last week with multi-million pound debts.
Jonathan Guthire, enterprise editor at the Financial Times said the firm's 80 creditors were demanding answers about the details of the ruby contained in the Wrekin's 2007 accounts.
The gemstone is said to have been bought by Wrekin Construction from its parent company Tamar Group in return for the issue of 11 million shares, worth £1 each.

Tamar Group Chairman David Unwin was confronted by reporters yesterday, but declined to comment.
 
Mkuu tk salam,
Kuna utata juu ya kito hicho cha RUBY kuwa hakitoki Tanzania na pia thamani yake imekuzwa mno na hivyo huenda Kampuni iliyonunua kito hicho IMETAPELIWA. tusubiri tuone wapi wimbi la wafuatiliaji litakapotupeleka.
 
Mkuu tk, mtiti wa hii Ruby ndio unaibuka sasa.
P
 
Hii issue ikawaje ikakaliwa kimya muda wote huo? au ni waingereza walikuwa bado hawajaiuza kwa waarabu?

Huyu aliyejua hiyo ruby iko Uingereza sijui alitumia chanzo gani, naona waarabu wamejikanyaga wenyewe walipoamua kulipeleka hilo jiwe kwenye maonesho.
 
Hiyo Ruby itakuwa ilichimbwa Longido enzi za Mkapa. Ikanunuliwa na mlanguzi, Mchimbaji atakuwa alipewa peanut!. Kwa vile sasa inatangazwa hivi, Mchimbaji wake kama yuko hai, atajitokeza.

Baada ya kuibiwa Longido, ili iweze kuingia sokoni ni lazima ipate certificate of origin, hivyo mwizi yule akaipeleka Dodoma kwenye mgodi wa Winza for certification, ili ionekane imechimbwa Dodoma, hivyo, kama ni kweli Winza walitoa certification, watakuwa walishikishwa kidogo dogo, wakatoa certificate fake ikionyesha ni Ruby ya Winza na kuingizwa sokoni. Ila pia inawezekana kabisa hata hiyo certificate of origin sio genuine ni fake, hivyo Winza hawakufanya certification yoyote nawajui lolote wala chochote bali ni utapeli mtupu!.

Mnunuzi wa kwanza aliipeleka hili jiwe Italy na kufanikiwa kupata valuation ya The institute of Gemmological in Italy on August 31, 2007 ikionyesha ndio tarehe ya valuation hiyo ikionyesha Ruby hiyo inathamani ya £. 11m za Uingereza.

Msemaji wa the institute of Gemmological cha Italia, Bi Loridana Prosperi, amekanusha taasisi yake kufanya uchunguzi wowote wa jiwe hilo, na kwenye kumbukumbu za kiofisi, hakuna taarifa yoyote juu ya kito hicho, na akasema Kwanza, Taasisi haifanyi uthamini wa jiwe lolote, bali unaangalia properties. Tarehe ya barua hiyo ya August 31,2007, ilikuwa ni public holidays, ofisi haikufunguliwa, hivyo barua ya uthamini wa jiwe hilo ni barua fake. And she claimed her company never assessed the price of gemstones, only the quality .

Bila kujua taarifa hizo ni fake, kampuni ya Tamar ya Uingereza, ikadanganya kuwa imelinunua jiwe hilo Kwa £. 11m, na kuwauzia Wrekin Construction.

Sijui jiwe hilo fake, lilipitia mikono ya watu wangapi kabla halijatua kwa Tajiri wa Kiarabu, akalibatiza jina la na sasa liko sokoni watu wakitaka kupigwa!.

Jiwe fake kivipi tena Mr
Au ni uandishi tu
 
Paskali mzigo wa longido uko mwingi sana hauna bei,laizer wa longido anaruby tani 10
IMG_20220422_114944.jpeg
Screenshot_20220422-115006_Twitter.jpeg
 
Back
Top Bottom