Ruben Ndege vs Zamaradi Mketema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ruben Ndege vs Zamaradi Mketema

Discussion in 'Entertainment' started by Karucee, Jun 19, 2012.

 1. Karucee

  Karucee JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 10,588
  Likes Received: 1,325
  Trophy Points: 280
  Zamaradi wa kipindi cha Take One kinachorushwa na Clouds TV bora angesalimu amri amuache Ruben Ndege aendelee kutuletea kipindi cha Take One. Ruben kwanza shule imo, pili anajitahidi kuleta mabadiliko katika industry ya movie za Kibongo. Zamaradi kwa muonekano wangu kahamisha magazeti ya umbea kuyaleta kwenye runinga zetu. Last week, story ni Wema, this week story ni Wema. What the ****?? Come back Ruben Ndege. Change is what we need.
   
Loading...