Ruben Dias awa mchezaji bora ya msimu epl 2020/2021

tc_edo

Senior Member
Apr 9, 2021
123
98
Hii ni tuzo nyingine tena kwa beki wa Manchester City, Ruben Dias Ikiwa haijatimia hata mwezi ambapo Tarehe 20 mei 2021 alichukua tuzo ya FWA FOOTBALL of the year. Ruben Dias anakua beki wa nne kuchukua tuzo hii; Nemanja Vidic (×2) 2008/2009 na 2010/2011, Vicent Kompany 2011/2012, Virgil van Dijk 2018/2019 ndiyo mabeki watatu waliotangulia kuchukua tuzo hiyo.
IMG_20210605_134733.jpg


Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mwamba wa kireno uko vizuri sana, tatizo Guardiola aliwabania kuwapa kombe la UCL, angetakiwa abebe tuzo zote mpaka ya mchezaji bora wa dunia.
 
Hii ni tuzo nyingine tena kwa beki wa Manchester City, Ruben Dias Ikiwa haijatimia hata mwezi ambapo Tarehe 20 mei 2021 alichukua tuzo ya FWA FOOTBALL of the year. Ruben Dias anakua beki wa nne kuchukua tuzo hii; Nemanja Vidic (×2) 2008/2009 na 2010/2011, Vicent Kompany 2011/2012, Virgil van Dijk 2018/2019 ndiyo mabeki watatu waliotangulia kuchukua tuzo hiyo. View attachment 1808959

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Dias deserved
 
Acheni kuwa mazuzu, huyo Pep kamuuzia kombe kivip? Inamaana pep alikuwa halitaki hilo kombe? Kwann nyie watu hamtaki kukubali kushindwa lakin na ingetokea Pep ameshinda ungeongea hivi? Acheni ushabiki maandazi bhana
Kawauzia kombe Chelsea makusudi.
 
Back
Top Bottom