Rubani wa Kitanzania anashikiliwa na waasi wa Sudan ya Kusin

Taarifa juu ya rubani huyo ni kuwa:

1. Aliishaachiwa huru na kuruhusiwa kuondoka.

2. Waasi wanadai alikodiwa na viongozi wa serikali ya Sudan Kusini na kuelekezwa kutua eneo linaloshikiliwa na waasi ili waasi either wamuue au kumshikilia na hivyo kuitumia situation hiyo kujenga uadui kati ya waasi na serikali ya Tanzania ambayo serikali ya Sudan Kusini inadhan wanaungwa mkono na Tanzania.

3. Waasi wamekanusha kuwa waliweka condition ya kumtoa rubani huyo kwa kubadilishana na mfungwa wao.Wanasema wao hawafanyi uharamia wa namna hiyo wa kukamata watu kama mtaji.

Source: Facebook page ya Mabior Garang de Mabior, msemaji wa waasi hao.
 
Kwanini hao maofisa wa Sudan hawakukamatwa mateka na kaka pilot?

Hawakuwepo kwenye ndege,walimuingiza kingi rubani wetu atue eneo hilo.

Labda wao walishukia kwingine na wakamuagiza aelekee eneo hilo kuwachukua watu wengine kwa lengo la kumfanya chambo.
 
Wasije wakamchoma moto tu akiwa mzima anaungua huku anajiona,halafu wasambaze video waasi ni noma zaidi ya alshabab.
 
Back
Top Bottom