silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,208
- 1,668
Kwa mujibu wa mtandao Wa sudantribune.com Rubani kutoka Tanzania ndugu Mohammed Nassor anashikiliwa na waasi kwa kosa la juingia sudan ya kusini bila kibali.
Wanamtuhumu kuwa anashirikiana na serikali. wamesema hawatomuachia mpaka Machar aachiwe.
Tuombe suala hili limalize kwa amani na natumai maofisa wa Tanzania wanashughulikia suali hili.