#COVID19 Ruangwa, Lindi: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,901
95,401
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Mkoa wa Lindi, leo Jumanne.

Amewasisitiza waendelee kuchukua tahadhari na kujikinga na corona.

Source : Mwanahalisi twitter

======

My take
Imagine waziri mkuu wa nchi anakusanya watu ambao hawajachukua tahadhari yoyote ile dhidi ya Corona wakati huu wa wave 3 ya Corona ambayo ni hatari sana na Serikali hiyohiyo tayari ilishapiga marufuku mikusanyiko yote.

RnbX.jpg
 
Back
Top Bottom