Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

Sijakujua wewe ni nani ila huyo Mbunge aliyekulisha namfahamu na Shoga yake ila pia mambo ya NMC waache Mkwasa alishindwa vumilia.
Hivi hata Simbachawene keshaingia kwenye Ulaji Du tumekwisha umeme hata Kongwa na Kibakwe Finitio

Kumbe ubunge ni zaidi ya mshahara na marupurupu.Kuna kifungu cha umisheni town bungeni kuwa unaweza nunuliwa chakula na kupewa pesa za kupinga budget au kusuport.Bunge zaidi unavyolijua.Kama ni kweli si umseme kama Tundu Lisu anavyofanya.Magamba ni waoga,wanafiki,wezi,dhaifu kama baba yao
 
1. tutajie jina la huyo mbunge aliyekupa chakula kam kweli wewe nu mbunge mzalendo

2. ni mafuta gani hayo yanayouzwa tsh 1500/= ?

3. kwa nin taarifa yako inapingana na barua za mhando nahuyo katibu mkuu?

4. Lengo lako hasa ni nini...unaikataa bajeti au unaiunga mkono

taarifa yako imejaa majungu asilimia kubwa sana........
 
Hii stori ni full uzushi kama mmeshindwa kuelewana wenyewe nendeni kwa viongozi wa dini na si kutuletea ushambenga wenu huku
Hii story ina ukweli ndani yake tena sana tu ila aliyeileta ameianzia katikati.Kwangu mimi imenifanya kujua ukweli juu ya Tanesco kwa asilimia 90 leo. Baada ya kuisoma na ku connect dots kwa yale ambayo nilikuwa nayajuaga muda mrefu. Aliyeleta hii hapa ana kosa ila nnaisi umu jamvini kuna mliotumwa na hao waliowatuma mtupotoshe na kuwapoteza watu.Mimi baada ya kusoma hii nnaweza sasa nikatoa ata majina ya kina nnani wapo katika hili na huyo mbunge aliempa lunch mleta mada ajatumwa na Muhando........aliyemtuma ni zaidi ata ya Mboma. Ni upepo tu Utapita
 
kavimbiwa chakula halafu anakiita kichafu......inawezekana alipewa na mafuta huyo mbunge
 
Waheshimiwa Wabunge msichanganywe na propaganda,fanyeni kazi yenu kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,bila woga wala hila,tumewapa dhamana na mamlaka makubwa.
 
Nakuunga mkono na miguu au mwili mzima kabisa. Kiongozi kama mbunge atajifichaje na ID za kihuni!!! Nitatofautishaje uhuni huo na thread yake iliyojaa umbeya wa vijiwe vya kahawa na kashata!! Mods piga ban mbeya huyu mara moja.

Wakuu,napingana na ninyi.Hii hukumu yenu ina double standards.Ina maana sisi wote tunaotumia majina yasiyo ya asili(ikiwemo na wewe kingcobra) ni wahuni?mbona huu ni utaratibu tu.Sio lazima uwe mbunge ili uheshimike kwenye jamii.Vivyo hivyo,sio lazima uwe mbunge ili uweke ID yako ya kweli hapa.Kuweka au kutoweka ID ya kweli haikufanyi uwe na busara au ujinga,what counts ni content ya ulichoandika.
Mbona nyie huwa mnaanzisha mada zenye mashiko tu kwa kupitia hizo hizo ID zenu??

Cha msingi hapa ni kuundwa tume huru ichunguze huu ufisadi wa mboma.Maana katika hali ya kawaida,hata kama hakuna harufu yeyote ya ufisadi,ni ajabu sana kwa mwenyekiti wa board ya shirika kuwa anafanya biashara na shirika hilo hilo,there is undeniable conflict of interest in this.
 
Babykailama,

Mheshimiwa mbunge mimi naona post yako imekaa kimajungujungu.

Inabidi urudi tena hapa ututhibitishie hayo unayoyasema kuhusu Mboma kufanya biashara na Tanesco, Mhando kukosa uwezo wa kuongoza, Mhando kuwa na elimu ya kuunga unga, Mhando kuchaguliwa akiwa wa 3 kwenye waliopendekezwa. Otherwise nitakuona wewe ndio mleta majungu na una interest zako binafsi hapo Tanesco au kwa kundi fulani ndani ya Tanesco pengine Husband wako, honey wako au nk yupo kundi pinzani mnatuletea mipasho yenu.

Please lete proof ya haya mambo.
 
Wewe nawe inaelekea ni wale wale- kama unajua yote haya na ni mbunge kama unavyojitapa mahali sahihi pa kuwaumbua hao unaowatuhumu ni ndani ya ukumbi wa bunge-Kumbuka alivyofanya Kafulila kwa wale aliowakuta wakiomba rushwa. Hizi habari zenu za kuchafuana kwa visingizio vya uzalendo vimezidi. Tulisoma barua walizoandikiana wizara na Mhando, kutokana na mawasiliano hayo bado sijaliona tatizo la Mhando liko wapi unless utoe ushahidi kuthibitisha vinginevyo
Mkuu naona na wewe ni wale wale kwa sababu huyu Mhe katupa taarifa ni nini kinaendelea TANESCO bado amasema atashughulikia swala hili bungeni sasa shida iko wapi???? Tena kakwambia tatizo kubwa la TANESCO no MD Mhando wewe unasema huyo MD hana shidi yoyote kwa vipi??? TANESCO inauziwa mafuta na Mwenyekiti wa bodi kwa Tshs 2000/= Lita wakati bei halisi ni Tshs 1500/= lita wewe bado huoni shida ya mufilisi anayoifanya huyo Bwana Mhando MD???? Unafikili zinatumika litas ngapi kwa siku na Tshs ngapi zinatumika kwa mafuta, huoni shida ya huyo manager??? Naomba huyo mkuu Mhe Mbunge wetu aendelee kutupa taarifa ya sakata zima la TANESCO hadi mwisho wake!!!!!

Last edited by a moderator:

Jamani naomba kueleimishwa..Kunapokuwepo mgao hawa jamaa wanafaidika vipi kifedha?.

Mkandara ni kwamba kuna watu wana tenda ya kuiuzia TANSECO mafuta. Kama kuna mgawo wanauza mafuta mengi tena in inflated price. Ndiyo maana wakati Professor Muhongo anachukuwa hiyo wizara alielezwa na mtumishi mmoja wa TANESCO kuwa wakati mwingine mgawo huwa ni wa kutengenezwa. Amri inatoka juu kwamba zimeshimne mitambo ya mtera, kidatu, etc ili watu wapate fedha ya kula i.e waiuzie mafuta TANESCO. Nchi hii ni upumbavu mtupu!
 
Wewe nawe inaelekea ni wale wale- kama unajua yote haya na ni mbunge kama unavyojitapa mahali sahihi pa kuwaumbua hao unaowatuhumu ni ndani ya ukumbi wa bunge-Kumbuka alivyofanya Kafulila kwa wale aliowakuta wakiomba rushwa. Hizi habari zenu za kuchafuana kwa visingizio vya uzalendo vimezidi. Tulisoma barua walizoandikiana wizara na Mhando, kutokana na mawasiliano hayo bado sijaliona tatizo la Mhando liko wapi unless utoe ushahidi kuthibitisha vinginevyo
Mkuu naona na wewe ni wale wale kwa sababu huyu Mhe katupa taarifa ni nini kinaendelea TANESCO bado amasema atashughulikia swala hili bungeni sasa shida iko wapi???? Tena kakwambia tatizo kubwa la TANESCO no MD Mhando wewe unasema huyo MD hana shidi yoyote kwa vipi??? TANESCO inauziwa mafuta na Mwenyekiti wa bodi kwa Tshs 2000/= Lita wakati bei halisi ni Tshs 1500/= lita wewe bado huoni shida ya mufilisi anayoifanya huyo Bwana Mhando MD???? Unafikili zinatumika litas ngapi kwa siku na Tshs ngapi zinatumika kwa mafuta, huoni shida ya huyo manager??? Naomba huyo mkuu Mhe Mbunge wetu aendelee kutupa taarifa ya sakata zima la TANESCO hadi mwisho wake!!!!!

Last edited by a moderator:
Jamani naomba kueleimishwa..Kunapokuwepo mgao hawa jamaa wanafaidika vipi kifedha?.
Mkuu Mkandara, kukitokea mgao, mitambo ya IPTL hulazika kuwashwa, fuko kuu la hazina hufunguliwa na mabilioni ya uendeshaji na kununulia mafuta mazito huchotwa!. Kabla ya kuwa Board Chairman wa Tanesco, Generali Mboma alikuwa Board Chairman wa TPDC hivyo kujigawia exclusivity ya kundi la waagizaji mafuta adimu, kundi hilo linahusisha mafuta ya trasformer, mafuta ya kuendeshea mitambo na mafuta mazito!. Mgao maanaake ni matumizi zaidi ya mafuta badala ya maji!. Fuko kuu la hazina likitema, linatema kweli!.

Ila pia lazima nikiri, baadhi ya maamuzi ya serikali yetu katika suala zima la umeme, sio tuu ni maamuzi ya kienda wazimu, ni maamuzi ya serikali ya vichaa kabisa!. Wakati wa issue ya mitambo ya Dowans, Zitto akashauri tuinunue au tuitaifishe, watu walioonekana makini walipinga kwa nguvu zao zote eti ni "mitambo chakavu"!. Mgao ulipawadia tuliwasha IPTL ambayo ni chakavu mara mia 100 dhidi dowans na gharamaza uendeshaji mara mia 200 zaidi ya dowans na umeme unaozalishwa ni robo tuu ya wa dowans huku ukituharibia mazingira mara mia 400 zaidi!. Simbio kainunua mitambo ile, sasa ndio mkombozi wa Tanesco, tunaendelea kuikodisha kwa bei ya mara mbili ya awali, huku tukilipia capacity charges ya kufa mtu!. Hizi ni akili au matope?. Huu ndio tunauita uendawazimu wa serikali yatu, mimi nauita ni ukichaa kabisa!.
 
Ili tanesco ipate ufanisi warudishwe watu waadilifu, wanaomuogopa mungu mmoja aliye juu. Tatizo kwa sasa wote waliobaki ndio wa lile kundi la majambazi.
 
Wewe nawe inaelekea ni wale wale- kama unajua yote haya na ni mbunge kama unavyojitapa mahali sahihi pa kuwaumbua hao unaowatuhumu ni ndani ya ukumbi wa bunge-Kumbuka alivyofanya Kafulila kwa wale aliowakuta wakiomba rushwa. Hizi habari zenu za kuchafuana kwa visingizio vya uzalendo vimezidi. Tulisoma barua walizoandikiana wizara na Mhando, kutokana na mawasiliano hayo bado sijaliona tatizo la Mhando liko wapi unless utoe ushahidi kuthibitisha vinginevyo
Mkuu naona na wewe ni wale wale kwa sababu huyu Mhe katupa taarifa ni nini kinaendelea TANESCO bado amasema atashughulikia swala hili bungeni sasa shida iko wapi???? Tena kakwambia tatizo kubwa la TANESCO no MD Mhando wewe unasema huyo MD hana shidi yoyote kwa vipi??? TANESCO inauziwa mafuta na Mwenyekiti wa bodi kwa Tshs 2000/= Lita wakati bei halisi ni Tshs 1500/= lita wewe bado huoni shida ya mufilisi anayoifanya huyo Bwana Mhando MD???? Unafikili zinatumika litas ngapi kwa siku na Tshs ngapi zinatumika kwa mafuta, huoni shida ya huyo manager??? Naomba huyo mkuu Mhe Mbunge wetu aendelee kutupa taarifa ya sakata zima la TANESCO hadi mwisho wake!!!!!
 
Haya ni matatizo ya mifumo mibovu ya uendeshaji wa mashirika ya umma. Hata ukimweka mtu wa aina gani pale, so long as siasa imetawal, basi atashindwa tu!
 
Hii propaganda inatoka ktk kundi moja hasimu kati ya yanayotaka kuimiliki Tanesco. Kama ilivyokua ATCL,ndivyo sasa Tanesco. Mzizi wa fitina hapa ni Katibu Mkuu wa Wizara, yaonyesha anaandaa watu wake,ili wakamue! Waziri inabidi ajipange lasivyo ataondoka kwa aibu.

Katibu mkuu mpya wa wizara ya Nishati ni mchapa kazi na sio mtu wa porojo; sasa hawa wezi wanaona anawabana ndio wameanza kumpiga vita na kusingizia kuwa anataka kupanga safu yake!! Mboma sio muadilifu hata kidogo historia yake akiwa jeshini ni ushahidi tosha, udhaifu wa mkweree ndio unatuhalibia nchi kwa yeye kuwateua wezi wenzie kuongoza mashirika nyeti kama Tanesco.
 
Sie wabongo ni watu wa ajabu. Nilitegemea mleta mada apongezwe kwa kufichua madhambi yanayoendelea ndani ya TANESCO, matokeo yake tunamponda mleta thread.Kwa hiyo mtu akipata issue asiilete janvini?
 
Back
Top Bottom