RPC wa Dodoma, Afande Muroto aituhumu JamiiForums kwa kupotosha taarifa za kifo cha Sheikh Rashid Bura

Mi nadhani NIMRI watoe journal juu ya utafiti wa dalili mpya za ugonjwa wa moyo ambazo ni
1.) Nguo kuvuka zenyewe ghafla
2.) Uume kukatika
3.) Mikono kujifunga kamba
4.) Kupata majeraha mgongoni, mkononi na kwenye paja.
 
Looh
 

Attachments

  • VID-20191226-WA0015.mp4
    103.9 KB
  • VID-20191225-WA0006.mp4
    14.7 MB
Wewe pascal una maana ukimkuta mkeo nyumbani kafungwa kamba kwenye kiti yupo uchi na ana jeraha sehemu za mwili utakuwa huna shaka kama kauwawa utajua kafa kwa maradhi hata docta akikwambia kafa kwa maradhi utakubali na hali umemkuta u mauti wake upo tofauti akili ya kuambiwa ongeza na za. Pascal Mayalla,
 
Kwani taarifa ya kifo ilishatolewa hata vyombo vya habari vionekane vimeipotosha?
 
Nguruvi3,
MUDA SAHIHI WA KUKAA KIMYA:

1. Kaa kimya unapokuwa na hasira.

2. Kaa kimya unapokua huna uhakika wa unachokitetea.

3. Kaa kimya unapokuwa hujathibitisha ukweli wa unachotaka kukisema.

4. Kaa kimya kama maneno yako yataleta maudhi.

5. Kaa kimya wakati ambao unapaswa kusikiliza.

6. Kaa kimya pale ambapo unataka kukejeli au kudhihaki mambo ya kweli.

7. Kaa kimya kama hilo suala halikuhusu.

8. Kaa kimya kama unaona utalazimika kusema uongo.

9. Kaa kimya kama unajua kuwa maneno yako yataharibu au kuumiza hadhi ya mtu.

10. Kaa kimya kama maneno yako yataharibu urafiki wenu.

11. Kaa kimya kama nia yako ni kupinga tu.

12. Kaa kimya kama maneno yako yatamuaibisha Mungu au familia yako.

13. Kaa kimya kama unajua kuwa unaweza kuyajutia maneno yako baadae.

14. Kaa kimya kama umeshazungumza tena na tena juu ya jambo hilo na hakuna kinachobadilika.

15. Kaa kimya kama unatakiwa kuwa bize na shughuli zako.
 
Sijawahi kuona jeshi la kipuuzi kama PT, hasa linapotokea jambo la mauaji ya kutatanisha kama haya ya Bura. Ikiwa serikal ilishatofautiana na CAG na Bura alihudhuria mkutano wake, kuna uwezekano mkubwa kuwa Bura aliuawa kwa sababu za kisiasa kama ilivyotokea kwa Tundu Lissu, Ben Saanane, Azory Gwanda na wahanga wengine ambao wameuawa kimya kimya na miili yao haijawahi kupatikana mpaka leo. Kwa mantiki hii, nawashauri wauaji wawe wanamtuma mtu mweledi kuongea na media, vinginevyo wataumbuka.
 
Back
Top Bottom