RPC Singida fuatilia uonevu polisi Kiomboi

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
8,721
13,959
UPDATE
...............
Baada ya uzi huu kuwekwa hapa jamvini jana.
Katibu wa mbunge alikwenda polisi kumuona OCD.
Taarifa ni kwamba OCD ameahidi kuacha kutumia maaskari wake kuwanyanyasa raia.
Taarifa ya asubuhi hii ni kwamba mmoja kati ya maaskari walio kuwa wana taka hongo ambae ndie alipiga watu picha, ajukikanae kwa jina la Magohe ame muita mwenyekiti wa kitongoji kutoa maelezo.
Jambo la kujiuliza, hili tukio ni la tangu 25/03/2022. Kwanini muda wote huo hawa kuchukua maelezo ya mwenyekiti?
Kuna watu wanne wako mahabusu hadi leo huu sio unyanyasaji??
Naomba hatua za kinidhamu zichukuliwe kwa maaskari husika. Kama anavyo sema IGP kuna kikundi cha watu wachache ndani ya jeshi la polisi wana haribu taswira ya jeshi zima.

..............
Naomba kusema nimefika hapa Kiomboi siku tatu zilizopita. Kuna tukio lililookea maeneo ya Kiomboi mjini, ambapo kijana mwizi alikamatwa ameiba kuku akiwa na kisu na panga na hao kuku alioiba.

Ilikuwa majira ya saa kumi na moja alfajiri kwa maelezo ya mtoa taarifa. Watu walio mkamata mwizi walimpiga. Na wengine kupiga mayowe. Baadhi ya majirani waliamka na kushauri mwizi apelekwe polisi. Gari ya polisi Kiomboi ilifika kimchukua mwizi na alivyokutwa navyo. Pia waliwachukua watu wawili kwenda kuandika maelezo. Baada ya siku tatu yule mwizi alifariki.

Polisi imewakamata wale waliokwemda kuandika maelezo na kuwafungulia kesi ya mauaji. Kuna majirani watatu polisi iliwapiga picha akiwepo na aliepeleka taarifa polisi wanatakiwa watoe hongo ya milioni nne kinyume na hivyo wanatishiwa nao wataunganishwa kwenye kesi. Askari anayyetaka hiyo rushwa anaitwa Deo na anasema katumwa na OCD. Ni hivi majuzi tuu Mh. Rais kalemea hii tabia ya polisi kubambikia watu kesi. Hii tabia imekuwa kidonda sugu ndani ya jeshi la polisi. Kwanini watu kama huyu Deo asishughulikiwe na mamlaka?

Kwanini watu waishi kwa mashaka kwenye nchi huru? Katibu wa Mbunge analijua hili jambo. Kwanini mamlaka zina ruhusu huu uonevu?
Huyu Deo ni nani hapo Kiomboi hadi awe mkusanya rushwa za OCD? Naahidi kufuatilia hili jambo na kuweka majina ya polisi wengine hapa Kiomboi wanao wanyima watu amani.
 
Naomba kusema nimefika hapa Kiomboi siku tatu zilizopita. Kuna tukio lililookea maeneo ya Kiomboi mjini, ambapo kijana mwizi alikamatwa ameiba kuku akiwa na kisu na panga na hao kuku alioiba.

Ilikuwa majira ya saa kumi na moja alfajiri kwa maelezo ya mtoa taarifa. Watu walio mkamata mwizi walimpiga. Na wengine kupiga mayowe. Baadhi ya majirani waliamka na kushauri mwizi apelekwe polisi. Gari ya polisi Kiomboi ilifika kimchukua mwizi na alivyo kutwa navyo. Pia waliwachukua watu wawili kwenda kuandika maelezo. Baada ya siku tatu yule mwizi alifariki.

Polisi imewakamata wale walio kwemda kuandika maelezo na kuwafungulia kesi ya mauaji. Kuna majirani watatu polisi iliwapiga picha akiwepo na alie peleka taarifa polisi wanatakiwa watoe hongo ya milioni nne kinyume na hivyo wana tishiwa nao wataunganishwa kwenye kesi. Askari anae taka hiyo rushwa anaitwa Deo. Na anasema katumwa na OCD. Ni hivi majuzi tuu Mh. Rais kalemea hii tabia ya polisi kubambikia watu kesi. Jii tabia imekuwa kidonda sugu ndani ya jeshi la polisi. Kwanini watu kama huyu Deo asishughulikiwe na mamlaka?

Kwanini watu waishi kwa mashaka kwenye nchi huru? Katibu wa Mbunge analigahu hili jambo. Kwanini mamlaka zina ruhusu huu uonevu?
Huyu Deo ni nani hapo Kiomboi hadi awe mkusanya rushwa za OCD?? Naahidi kufuatilia hili jambo na kuweka majina ya polisi wengine hapa Kiomboi wanao wanyima watu amani.
duuh
 
Mama anachelewa Sanaa lifumua hili jeshi lishaoza askari wanashindana kujenga nyumba na kununua magari kwa pesa za ujanja ujanja kama hizi rushwa nk
 
Naomba kusema nimefika hapa Kiomboi siku tatu zilizopita. Kuna tukio lililookea maeneo ya Kiomboi mjini, ambapo kijana mwizi alikamatwa ameiba kuku akiwa na kisu na panga na hao kuku alioiba.

Ilikuwa majira ya saa kumi na moja alfajiri kwa maelezo ya mtoa taarifa. Watu walio mkamata mwizi walimpiga. Na wengine kupiga mayowe. Baadhi ya majirani waliamka na kushauri mwizi apelekwe polisi. Gari ya polisi Kiomboi ilifika kimchukua mwizi na alivyokutwa navyo. Pia waliwachukua watu wawili kwenda kuandika maelezo. Baada ya siku tatu yule mwizi alifariki.

Polisi imewakamata wale waliokwemda kuandika maelezo na kuwafungulia kesi ya mauaji. Kuna majirani watatu polisi iliwapiga picha akiwepo na aliepeleka taarifa polisi wanatakiwa watoe hongo ya milioni nne kinyume na hivyo wanatishiwa nao wataunganishwa kwenye kesi. Askari anayyetaka hiyo rushwa anaitwa Deo na anasema katumwa na OCD. Ni hivi majuzi tuu Mh. Rais kalemea hii tabia ya polisi kubambikia watu kesi. Hii tabia imekuwa kidonda sugu ndani ya jeshi la polisi. Kwanini watu kama huyu Deo asishughulikiwe na mamlaka?

Kwanini watu waishi kwa mashaka kwenye nchi huru? Katibu wa Mbunge analigahu hili jambo. Kwanini mamlaka zina ruhusu huu uonevu?
Huyu Deo ni nani hapo Kiomboi hadi awe mkusanya rushwa za OCD? Naahidi kufuatilia hili jambo na kuweka majina ya polisi wengine hapa Kiomboi wanao wanyima watu amani.
Pamoja na hatua hii nenda karipoti TAKUKURU ikiwezekana kwa maandishi kabisa.
Ikishindikana kushughukiwa kwa hatua stahiki Deo atashughulikiwa kwa namna zingine.
 
OCD anaitwa nani, na huyo Deo ana cheo gani
Kama umesoma vizuri nimesema nimeingia hapa Iramba lini?
Haya ni malalamiko yako mtaani kuhusu hawa polisi. Kuna taarifa hata hakimu amewaambia polisi kwamba wana waonea watu wasio na hatia.
 
Back
Top Bottom