RPC muroto leo mmechemka na intelijensia yenu

digalangosha

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
1,554
2,265
Habarini wana jamvi

Leo Dodoma polisi walijipanga sana kukabiliana na maandamano ya ACT kupinga bunge kutofanya kazi na CAG, lakini cha ajabu wala hata maandamano wala dalili hazikuepo japo polisi wametumia gharama kujiandaa.....

Inamaana intelijensia ya jeshi la polisi ilikua haijui kwamba maandamano hayatokuepo au ndio walitaka kujionesha tu kuwa wao nao wapo fiti....

Watu wazima wanasema leo polisi mmejipiga tobo
20190409_101729.jpeg
20190409_081834.jpeg
20190409_082037.jpeg
20190409_082041.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliochemka ni polisi au waandamanaji?, Polisi wamefanikiwa kuzuia maandamano waliochemka ni waliopanga kuandamana alaf hawakutokea. Hapo Jeshi LA polisi limefaulu 100%
Habarini wana jamvi

Leo Dodoma polisi walijipanga sana kukabiliana na maandamano ya ACT kupinga bunge kutofanya kazi na CAG, lakini cha ajabu wala hata maandamano wala dalili hazikuepo japo polisi wametumia gharama kujiandaa.....

Inamaana intelijensia ya jeshi la polisi ilikua haijui kwamba maandamano hayatokuepo au ndio walitaka kujionesha tu kuwa wao nao wapo fiti....

Watu wazima wanasema leo polisi mmejipiga toboView attachment 1067059View attachment 1067064View attachment 1067065View attachment 1067066

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tujifunze kukubali ukweli japo unaweza kuwa mgumu kuupokea,ACT wazalendo walipanga maandamano yameshindikana kutokana na jeshi kutapakaa katika kona zote muhimu,hapo aliyefanikiwa ni RPC sio sisi wananchi.
 
Mkuu, kwenye usalama hatuhesabu gharama. Cha msingi ni amani na utulivu.

Dodoma hali ilikiwa shwari, wananchi waliendelea na shughuli zao za kiuchumi, kijamii kwa hali ya amani na utulivu. Inafahamika kuna watu hawapendi hali hiyo, kwakuwa kwao machafuko ni mtaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wana jamvi

Leo Dodoma polisi walijipanga sana kukabiliana na maandamano ya ACT kupinga bunge kutofanya kazi na CAG, lakini cha ajabu wala hata maandamano wala dalili hazikuepo japo polisi wametumia gharama kujiandaa.....

Inamaana intelijensia ya jeshi la polisi ilikua haijui kwamba maandamano hayatokuepo au ndio walitaka kujionesha tu kuwa wao nao wapo fiti....

Watu wazima wanasema leo polisi mmejipiga toboView attachment 1067059View attachment 1067064View attachment 1067065View attachment 1067066

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe fala kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom