Kwa sababu hatakuwa RPC hadi kaburini asitimize wajibu wake, Rais kwa kuwa hatakuwa raisi hadi kaburini, mwalimu, dakitari, nk., waache kutimiza wajibu wao maana kazi zao hawaendi nazo kaburini! This is pathetic! Ndo nyinyi mnataka kuchukua dola! Ebyomwanshonzi!Anadhani atakuwa RPC hadi kaburini.
Maisha tunapita tenda haki.