Royal Tour imeifungulia Tanzania fursa lukuki Marekani

Nataka nizungumzie point no 3.
Ht South africa haipokei watalii m15 kwa mwaka, hizo projection zenu mmezitoa wapi?
Kwa Data gani na Kwakipi hasa?kwa uboreshaji gani mlioufanya ktk sekta ya Utalii?
Yani ka movie kamoja tu kiwafanye mjione ma giant ktk sekta ya utalii...heb acheni longo longo.
Ht km mnalipwa kufanya propaganda heb mue mnafanya due deligence kabla ya kuja kutuuzia chai zenu humu ndani.
JF is a home of Great thinkers, heb mue na heshima mnapotuma pumba zenu.

Yule jamaa ni kubwajinga, the most visited African country kwa utalii ni Morroco, ikifuatiwa na Afrika Kusini ambayo iko below 10milioni sasa hiyo 15 milion inatoka wapi wakati hata top 10 Afrika hatumo tunazidiwa na Uganda na Kenya
 
Back
Top Bottom