Roundabout vs traffic lights: Kipi kinasaidia watu kutopoteza muda barabarani?

Bamileck

Member
Jul 26, 2021
26
39
Suala la foleni katika miji limezidi kuwa changangamoto.

Nini kinaisaidia kutokomeza watu kukaa Barabarani muda mrefu Kati ya roundabouts na trafic lights?

Kwa upande wangu, roundabout nazipa asilimia 100 katika upunguzaji wa foleni
 
Ni kweli. Temporary Round-about wakati wa ujenzi wa Daraja la juu la Kijazi pale Ubungo ilisaidia sana kupunguza adha ya foleni.
 
Ni kweli. Temporary Round-about wakati wa ujenzi wa Daraja la juu la Kijazi pale Ubungo ilisaidia sana kupunguza adha ya foleni.
Kiukweli round about aka keep left husaidia sana foleni sababu kama hakuna gari au magari mtu anaweza endelea na safari tofauti na traffic lights ambapo hata kama hakuna gari inabidi kusubiri.

Cha msingi pia hizo keep left pia ziangaliwe ukubwa zisiwe ndogo sana kama ya hapa chalinzi ambapo zinaweza nazo kuwa kero.Ukiweka keep left kubwa yenye line au njia hata tatu inaweza sana saidia.Ila yote ya yoye maeneo yenye makutano makubwa fly over au by pass zinaweza kuwa suluhisho
 
Back
Top Bottom