Rothschild Ndiyo Familia Tajiri Zaidi Duniani

blackstarline

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
3,088
7,460
upload_2017-12-13_11-29-0.png


Jina la Rothschild linahusishwa na utajiri mkubwa kwa zaidi ya miaka 200, Familia ya Rothschild ndiyo familia yenye nguvu zaidi na yenye utajiri mkubwa kabisa, Inasemekana utajiri wao unathamani ya zaidi ya dola bilioni 500 na hayo ni makadirio ya chini Utajiri wao unatokana uwekezaji mkubwa katika mabeki, mashamba, mafuta, na mali zisizo hamishika, nk. Nabado hawapo kwenye orodha ya matajiri inayo tolewa na forbes kila mwaka, Watu wengine wanasema kwamba utajiri wao umejengwa kwa kutumia njia zisizo halali.

Rothschild huwaficha watu utajiri wao! Inashangaza kidogo wakati matajiri wengi hupenda na huona fahari sana majina yao kwemo kwenye listi ya forbes, Wao hawapendi kunyionyesha ipo sababu nyuma yake, Ni kwa sababu familia hii inathibiti utajiri wa mali duniani kote.

Asili ya familia hii imetoka kwa myahudi anaefahamika kwajina la Mayer Amschel Rothschild Mtu huyu alianzisha benki yake ya kuhudumia familia za kifalme jijini Frankfurt Ujerumani. Alianzisha biashara yake ya benki mwaka 1760. Baadae biashara yake ilikuwa na kuanzisha banking empire ambayo zilienea pembe zote za ulaya kwa kupitia watoto wake, Salomon-Mayer von Rothschild, Nathan Mayer-Rothschild, James-Mayer de Rothschild, na Amschel Mayer Rothschild. katika karne ya kumi na tisa. Familia hii iliendelea kuanzisha mabenki katika miji ya Vienna huko Austria, London huko Uingereza, Naples nchini Italia, Frankfurt nchini Ujerumani na Paris huko Ufaransa. Wote pamoja waliratibu shughuli zote za kibenki za Ulaya . Waliweka msingi wa benki na hata kuunda baadhi ya mchakato wa sekta za kibenki . Pia waliunda mahusiano ya karibu na familia zilizosimamia katika nchi ambako walienda kuanzisha mabenki. mfano ni Carl Rothschild aliye karibu sana na familia ya Italia Nobel de 'Medici na Evelyn de Rothschild ni mshauri binafsi wa kifedha wa Malkia wa uingereza.

upload_2017-12-13_11-29-25.png


upload_2017-12-13_11-29-56.png






VITA NI FAIDA

Familia ya Rothschild inaamini vita nifaida, hufadhili vita pande zote mbili, atakae shinda wata vuna faida napia atakae shindwa pia watavuna faida. Tangu Vita vya Napoleon ya 1803 hadi 1815, vita ya kwanza naya pili. Mfano mwaka 1815, Napoleon Bonaparte alikuwa na kampeni ya kuipiga Uingereza na kuichukua. Hapo sasa familia ya Rothschild ikaona fursa wakakaa na kupanga mipango. Jacob Rothschild alikuwa anakaa Paris, Ufaransa. Aliambiwa afanye jitihada za kufadhili Napoleon ashinde ili aweze kuichukua Uingereza. Kwa upande mwingine, Nathan Rothschild, aliyekaa London aliambiwa afanye jitihada za kumfadhili General Wellington dhidi ya Napoleon. Wana wawili hao walifanya hivyo na vita vika pamba moto. Lakini familia hiyo iliamua kuwa ilikuwa ni faida zaidi kwao ikiwa Uingereza itashinda vita maana faida itakuwa kubwa zaidi kwao, Na familia ya kifalme ya Uingereza itakuwa na deni kwa familia ya Rothschild. Kwa hiyo, Yakobo alitoa fedha kidogo kwa jeshi la Napoleon ili tu ishindwe kujikim na General Wellington alishinda.

Nathani alihusika katika soko la hisa la Uingereza. Kwa hekima, aliona nafasi ya kuua ndege wawili kwa jiwe moja. Akijua kwamba Uingereza itashinda vita, alianza kuuza hisa zake kwa Uingereza kwa jumla, Wafanyabiashara wengine waliona matendo yake na wakahitimisha kuwa Ufaransa lazima itaishinda Uingereza, na ikiwa uingereza imeshidwa vita ni hatari kwa biashara zao na pia watapoteza hisa zao. Matokeo yake, bei ya hisa ikapungua na ikawa ndogo sana. Hii ilisababisha anguko la kiuchumi nchini Uingereza. Mara baada ya Nathani kuona kwamba wafanyabiashara wengine wanaanza kuuza hisa zao zote, alianza kuwashusha bei . Kumbuka katoka kwenye familia tajiri zaidi ulimwenguni haikuwa shida kwake kununua hisa zao zote. Kwa kweli aliweza kununua hisa zote ambazo Benki ya Uingereza ilitoa
upload_2017-12-13_11-31-11.png


mwaka huo. Wakati habari zina wafikia wananchi wa kawaida kwamba Uingereza imeshinda vita, thamani ya hisa za Uingereza iliongezeka sana, Nathan alipata faida ya asilimia 20 katika uwekezaji wake wote katika hisa. Mbali na hayo, kwa kuwa familia ya Rothschild ilimiliki hisa zote huko Uingereza, pia ilimiliki kwa ufanisi uchumi wa Uingereza na Benki ya Uingereza. Tangu wakati huo, familia ya Rothschild imetumia pesa na uwezo wao wa kubuni uchumi wa nchi nyingine duniani kote. Pia hutengeneza anguko la kiuchumi ili kupata faida kutoka kwao, kama vile walivyofanya huko Uingereza mwaka wa 1815.

Familia ya Rothschild huoana wenyewe kwa wenye hii huwapa fursa kwa mabinti zao zakuufurahia utajiri wandugu zao hii pia ni kwasababu wanawake hawapewi urithi , wakiolewa huishi kama mabinti wa kifalme maisha yao yote. Hivyo, kwa zaidi ya miaka 200, familia ya Rothschild imeendelea kuoana wenyewe kwa wenyewe. Watu wengi wanaamini kuwa familia ya Rothschild ni Wayahudi wa Zionist, Wayahudi wanaamini kila nchi watakayo ichukua wata wafanya watu waamini imani yao ya Kiyahudi kwa njia yoyote itakayo faa. Wamehakikisha kuwa watu wenye uwezo zaidi ulimwenguni ni Wayahudi hili limefanikiwa sana. Limefanikiwa kwa kuoana katika utamaduni wa Kiyahudi, ikiwa mwanamke ni Myahudi basi watoto wake watakuwa ni Wakiyahudi kwa kuzaliwa. Kwa mfano Katherine, Duchess wa sasa wa Cambridge ni mke wa Prince William,
upload_2017-12-13_11-39-58.png



Mama yake, Madam Goldsmith ni Myahudi pia. Hii ina maana kwamba mtoto wao, Prince George ni Myahudi. Ikiwa atachukua kiti cha enzi kama Mfalme George, atakuwa Myahudi, Mfalme wa Zioni kwenye kiti cha enzi chenye nguvu zaidi duniani. Kwa nguvu hizo nyingi, nchi yoyote duniani akiitaka ataichukua. Ikiwa ataamua kuchukua nchi za Kiislamu kwa jina la dini ya Kiyahudi, basi anaweza kugeuza ulimwengu kuwa dini moja na yeye kuwa kama kichwa. Kumbuka kwamba sir Evelyn de Rothschild ndiye mshauri wa fedha wa sasa wa familia ya kifalme ya Uingereza, ushawishi wa Rothschild utaongoza utawala wa King George kwa baadaye. Pia familia hii inamiliki karibia ya mabenki yote duniani.

upload_2017-12-13_11-46-8.png




HAPA KUNA LISTI YA MABENKI YANAYO MILIKIWA NA ROTHSCHILD

Afghanistan: Bank of Afghanistan
Albania: Bank of Albania
Algeria: Bank of Algeria
Argentina: Central Bank of Argentina
Armenia: Central Bank of Armenia
Aruba: Central Bank of Aruba
Australia: Reserve Bank of Australia
Austria: Austrian National Bank
Azerbaijan: Central Bank of Azerbaijan Republic
Bahamas: Central Bank of The Bahamas
Bahrain: Central Bank of Bahrain
Bangladesh: Bangladesh Bank
Barbados: Central Bank of Barbados
Belarus: National Bank of the Republic of Belarus
Belgium: National Bank of Belgium
Belize: Central Bank of Belize
Benin: Central Bank of West African States (BCEAO)
Bermuda: Bermuda Monetary Authority
Bhutan: Royal Monetary Authority of Bhutan
Bolivia: Central Bank of Bolivia
Bosnia: Central Bank of Bosnia and Herzegovina
Botswana: Bank of Botswana
Brazil: Central Bank of Brazil
Bulgaria: Bulgarian National Bank
Burkina Faso: Central Bank of West African States (BCEAO)
Burundi: Bank of the Republic of Burundi
Cambodia: National Bank of Cambodia
Came Roon: Bank of Central African States
Canada: Bank of Canada – Banque du Canada
Cayman Islands: Cayman Islands Monetary Authority
Central African Republic: Bank of Central African States
Chad: Bank of Central African States
Chile: Central Bank of Chile
China: The People’s Bank of China
Colombia: Bank of the Republic
Comoros: Central Bank of Comoros
Congo: Bank of Central African States
Costa Rica: Central Bank of Costa Rica
Côte d’Ivoire: Central Bank of West African States (BCEAO)
Croatia: Croatian National Bank
Cuba: Central Bank of Cuba
Cyprus: Central Bank of Cyprus
Czech Republic: Czech National Bank
Denmark: National Bank of Denmark
Dominican Republic: Central Bank of the Dominican Republic
East Caribbean area: Eastern Caribbean Central Bank
Ecuador: Central Bank of Ecuador
Egypt: Central Bank of Egypt
El Salvador: Central Reserve Bank of El Salvador
Equatorial Guinea: Bank of Central African States
Estonia: Bank of Estonia
Ethiopia: National Bank of Ethiopia
European Union: European Central Bank
Fiji: Reserve Bank of Fiji
Finland: Bank of Finland
France: Bank of France
Gabon: Bank of Central African States
The Gambia: Central Bank of The Gambia
Georgia: National Bank of Georgia
Germany: Deutsche Bundesbank
Ghana: Bank of Ghana
Greece: Bank of Greece
Guatemala: Bank of Guatemala
Guinea Bissau: Central Bank of West African States (BCEAO)
Guyana: Bank of Guyana
Haiti: Central Bank of Haiti
Honduras: Central Bank of Honduras
Hong Kong: Hong Kong Monetary Authority
Hungary: Magyar Nemzeti Bank
Iceland: Central Bank of Iceland
India: Reserve Bank of India
Indonesia: Bank Indonesia
Iran: The Central Bank of the Islamic Republic of Iran
Iraq: Central Bank of Iraq
Ireland: Central Bank and Financial Services Authority of Ireland
Israel: Bank of Israel
Italy: Bank of Italy
Jamaica: Bank of Jamaica
Japan: Bank of Japan
Jordan: Central Bank of Jordan
Kazakhstan: National Bank of Kazakhstan
Kenya: Central Bank of Kenya
Korea: Bank of Korea
Kuwait: Central Bank of Kuwait
Kyrgyzstan: National Bank of the Kyrgyz Republic
Latvia: Bank of Latvia
Lebanon: Central Bank of Lebanon
Lesotho: Central Bank of Lesotho
Libya: Central Bank of Libya (Their most recent conquest)
Uruguay: Central Bank of Uruguay
Lithuania: Bank of Lithuania
Luxembourg: Central Bank of Luxembourg
Macao: Monetary Authority of Macao
Macedonia: National Bank of the Republic of Macedonia
Madagascar: Central Bank of Madagascar
Malawi: Reserve Bank of Malawi
Malaysia: Central Bank of Malaysia
Mali: Central Bank of West African States (BCEAO)
Malta: Central Bank of Malta
Mauritius: Bank of Mauritius
Mexico: Bank of Mexico
Moldova: National Bank of Moldova
Mongolia: Bank of Mongolia
Montenegro: Central Bank of Montenegro
Morocco: Bank of Morocco
Mozambique: Bank of Mozambique
Namibia: Bank of Namibia
Nepal: Central Bank of Nepal
Netherlands: Netherlands Bank
Netherlands Antilles: Bank of the Netherlands Antilles
New Zealand: Reserve Bank of New Zealand
Nicaragua: Central Bank of Nicaragua
Niger: Central Bank of West African States (BCEAO)
Nigeria: Central Bank of Nigeria
Norway: Central Bank of Norway
Oman: Central Bank of Oman
Pakistan: State Bank of Pakistan
Papua New Guinea: Bank of Papua New Guinea
Paraguay: Central Bank of Paraguay
Peru: Central Reserve Bank of Peru
Philip Pines: Bangko Sentral ng Pilipinas
Poland: National Bank of Poland
Portugal: Bank of Portugal
Qatar: Qatar Central Bank
Romania: National Bank of Romania
Rwanda: National Bank of Rwanda
San Marino: Central Bank of the Republic of San Marino
Samoa: Central Bank of Samoa
Saudi Arabia: Saudi Arabian Monetary Agency
Senegal: Central Bank of West African States (BCEAO)
Serbia: National Bank of Serbia
Seychelles: Central Bank of Seychelles
Sierra Leone: Bank of Sierra Leone
Singapore: Monetary Authority of Singapore
Slovakia: National Bank of Slovakia
Slovenia: Bank of Slovenia
Solomon Islands: Central Bank of Solomon Islands
South Africa: South African Reserve Bank
Spain: Bank of Spain
Sri Lanka: Central Bank of Sri Lanka
Sudan: Bank of Sudan
Surinam: Central Bank of Suriname
Swaziland: The Central Bank of Swaziland
Sweden: Sveriges Riksbank
Switzerland: Swiss National Bank
Tajikistan: National Bank of Tajikistan
Tanzania: Bank of Tanzania
Thailand: Bank of Thailand
Togo: Central Bank of West African States (BCEAO)
Tonga: National Reserve Bank of Tonga
Trinidad and Tobago: Central Bank of Trinidad and Tobago
Tunisia: Central Bank of Tunisia
Turkey: Central Bank of the Republic of Turkey
Uganda: Bank of Uganda
Ukraine: National Bank of Ukraine
United Arab Emirates: Central Bank of United Arab Emirates
United Kingdom: Bank of England
United States: Federal Reserve, Federal Reserve Bank of New York
Vanuatu: Reserve Bank of Vanuatu
Venezuela: Central Bank of Venezuela
Vietnam: The State Bank of Vietnam
Yemen: Central Bank of Yemen
Zambia: Bank of Zambia
Zimbabwe: Reserve Bank of Zimbabwe
 

Attachments

  • 225px-Great_coat_of_arms_of_Rothschild_family.svg.png
    225px-Great_coat_of_arms_of_Rothschild_family.svg.png
    22.2 KB · Views: 248
  • 5_rothschild_sons.jpg
    5_rothschild_sons.jpg
    9.3 KB · Views: 259
  • upload_2017-12-13_11-32-24.png
    upload_2017-12-13_11-32-24.png
    85.2 KB · Views: 254
Wajinga na watu waliochanganyikiwa ndo huaminigi hizi conspiracy theories.
 
Aahhhhh Bank of Tanzania
Unashangaa kuhusu bank ya tanzania kuwa chini yao? embu fikiri kuhusu taifa kubwa kama marekani United States: Federal Reserve, Federal Reserve Bank of New York. kama unaelewa jinsi dunia inavyo endeshwa huwezi kushangazwa, hii misaada tunayo pewa ina maana sana kwao ndiyo maana nyerere hakutaka kukopa kabisa kwao. Inashangaza kuona viongozi wetu wakiifurahia hii misaada nakujisifu nchi inakopesheka.
 
hii habari ni fake kabisa na si ya karne hii, hizi habari za kuchota popote zimeshaiharibua Jamii Forum GT yake. Mtu unacopy na kupaste tu wakati BOT ipo kwenye list hivi Magufuli anayelinda pesa yetu kila siku kumbehata si zetu
IMF imesema uchumi watanzania unazidi kushuka lakini watalamu wetu wana sema hauja shuka, weendelea kuamini pesa zetu kuna mtu anazilinda.
 
Mkuu mambo hayapo kama unavyo fikiri tunatawaliwa na tusio waona
Ni kwel kbs, yeye si anaona anakula analala anaenda haja kbw na ndg bila wasi
Wakt kunawatu wanawaza ni kivipi wakutawale kiakili, kiuchumi,kisiasa na kiteknologia
Mwambie akasimi hii NONDO aache uoimbi
Moral and digma bya Albert Pike
 
duuuuhh hao watu nizaidi ya hatari aiseeeeeee matawi yote hayo...??
nimebaki najiuliza kama kuna binaadamu wananguvu na mamlaka yakiasi hicho vipi uwezo wanguvu za SHETANI....kweli dunia haipo salama
 
duuuuhh hao watu nizaidi ya hatari aiseeeeeee matawi yote hayo...??
nimebaki najiuliza kama kuna binaadamu wananguvu na mamlaka yakiasi hicho vipi uwezo wanguvu za SHETANI....kweli dunia haipo salama
Ukisikia shetani anatawala dunia usishangae maana hapo ndipo alipo shetani, maana kama watu wana fadhili vita ili wapate faida tu unaweza kuwaita ni binadamu? minasema hao siyo binadamu hata kama wana kuja nakutupa misaada bado nyuma ya hii misaada lipo jambo.
 
Ukisikia shetani anatawala dunia usishangae maana hapo ndipo alipo shetani, maana kama watu wana fadhili vita ili wapate faida tu unaweza kuwaita ni binadamu? minasema hao siyo binadamu hata kama wana kuja nakutupa misaada bado nyuma ya hii misaada lipo jambo.
ubinaadamu wao utoke wapi mkuu yaani wanatabasamu nakufurahia Pesa wanazoingiza kwakumwaga tani za ujazo wa damu zawatu wasionahatia ...huku wengine wakibaki navilema vyakudumu katk maisha yao yote....aiseeeee hii dunia kama haujui inavyoendeshwa niwazi utakuwa huna tofauti nawale wote waliolala usingizi wapono kifikra
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom