Kwa hiyo katika hizo familia ipi tajiri kuliko nyingine?hizo ni Conspirancy tu
Rothschild Conspiracy: Do They Rule The World? - Conspiracies.net
kama katika Familia tajiri 25 wa hapa Duniani hawa Rothchild leo hawapo itakuwaje wamiliki hizo 475trilioni zilizobaki
25 richest families in the world are worth more than $1 trillion 25 richest families in the world are worth more than $1 trillion
Richest people in the world: Forbes' top 20 billionaires of 2018 Richest people in the world: Forbes' top 20 billionaires of 2018
Rockefeller familyKatika hizo familia ni ipi iliyo best?
Unazani sielewi au?Mkuu endelea kuwa ndani ya boksi siku ukitoka humo pengine unaweza kuelewa mambo jinsi ya livyo.
Ni vigezo gani umetuia kujua Rockefeller ndiyo familia tajiri zaidi?Rockefeller family
Mpaka June 2018 Familia inayoongoza ni WaltonKwa hiyo katika hizo familia ipi tajiri kuliko nyingine?
Na 2 wanafuata Familia ya KochThe Walton family of Walmart is the richest clan in the world, with total family wealth of $152 billion, according to data compiled by the Bloomberg Billionaires Index.
List yao ni hii kwa mwaka huu wa 2018 Link hiyo hapo ingiaThe Koch family, of Koch Industries, is ranked second with $98.7 billion. And coming in third is the Mars family, with $90 billion, known for their M&M and Mars Bars candies.
hatubishani mkuu endelea kuchimbua pengine utagundua kitu!Mpaka June 2018 Familia inayoongoza ni Walton
Na 2 wanafuata Familia ya Koch
List yao ni hii kwa mwaka huu wa 2018 Link hiyo hapo ingia
25 richest families in the world are worth more than $1 trillion
Here is the list of the top 10 richest families in the world:
- Walton family —Walmart— $152 billion
- Koch family — Koch Industries — $99 billion
- Mars family — Mars — $90 billion
- Van Damme, De Spoelberch, de Mevius —Anheuser-Busch Inbev— $54 billion
- Dumas family — Hermes — $49 billion
- Wertheimer family — Chanel — $46 billion
- Ambani family — Ambani conglomerate — $43 billion
- Quandt family — BMW — $43 billion
- Cargill MacMillen family — Cargill — $42 billion
- Boehringer, von Baumbach — Boehringer Ingelheim pharma - $42 billion
Wewe unaonaje?Fatilia usifuate mkumbo kamanda,unajua maana ya BOT?