Rothschild Ndiyo Familia Tajiri Zaidi Duniani

Hii kitu nilikuwa na artical moja niliisoma nikaitafsiri kwa kiswahili ila ilikuwa ndefu sana inaelezea kila kitu kuhusu hii familia hadi ilipoanzisha umoja wa mataifa ili kuipa uhuru Israel n.k Ndio familia ambayo utajili wake hupewa mtu aushikilie kwa niaba Ndio Maana ni nadra sana kufahamu wamiliki haswa wa makampuni makubwa kina Cocacola,Vodacom .n.k Ndio wafadhili na wahujumu wa kila kitu... Mleta Mada kajitahidi kiasi kuleta news za hao jamaa ila artical niliyoisoma ina records zote kwa Tarehe mwaka na siku from the bigining ya familia hadi leo hawa kina Rockerfeller ni wabebaji tu ila baba mwenyewe ni Rothschild
 
Mkuu safi sana, watu hawaelewe wanaona kama ni mambo ya kizushi, hawajui kama tume tekwa.
 
Watu mbona mnabisha bila kutoa hoja...mimi naweza amino maana hata kwenye technology ambayo nafatilia...kuna kampuni zinalipwa kwa ugunduzi wa vitu.. Mfano ukitengeneza simu yako leo..kuna watu utawalipa... Kwahiyo naweza dhani ata kwenye mabenk ipo hivyo..kwani tuligundua sisi hiyo system ya banking?
 
Mtoa uzi...kuna usemi upo kwenye bible nadhan sjui nan aliusema,ila unasema hiv "usiwape mbwa chakula cha watoto"...kuna vitu ni beyond normal knowledge..weng hawawez kukuelewa,.tena nisahihishe hapo kwenye bil500,ni kwamba hao jamaa networth yao ni $500trill...so hao wasiokuelewa ni hak yao kabsa hata sishangai,ni mambo mazito sana kwao
 
Shukrani mkuu, watu wanao kama ni vitu visivyo wezekana.
 
Wajinga na watu waliochanganyikiwa ndo huaminigi hizi conspiracy theories.
Mkuu utambuzi wako kwenye masuala ya ulimwengu ukoje? Asilimia kubwa ya mambo yapo kinyume na unavyoyajua wewe katka ulimwengu wa kawaida.
 
Mkuu utambuzi wako kwenye masuala ya ulimwengu ukoje? Asilimia kubwa ya mambo yapo kinyume na unavyoyajua wewe katka ulimwengu wa kawaida.
Siamini uchawi, ulozi, wanga, ushirikina, wala conspiracy theories. Kwangu kila kitu kipo Kama kilivyo na naona wavivu wakufikiri ndo huwa wanaamini haya mambo.
 
Siamini uchawi, ulozi, wanga, ushirikina, wala conspiracy theories. Kwangu kila kitu kipo Kama kilivyo na naona wavivu wakufikiri ndo huwa wanaamini haya mambo.
Vizur sana,ulicho nacho ndicho unachostahili.
 
1.King Solomon(net worth 2trillion $).
2.Mansa munsa $400+billions
3.Rockfeller $300+billions.

In histry nakumbuka hii.(u can verfy thru internet).

Lakin asante kwa taarifa mkuu

Endelea kudanganyika wanao kudanganya ndo hao hao wamiliki wahizo sehemu unapopata uongo wao waliokusudia wewe kuupata.

Ukishafika kwenye self actualization ukaridhika unataka usijulikane tena
 
Sijaelewa kwenye umiliki wa babk Kuu za nchi, je unamaanisha wanamiliki asilimia kubwa ya government bonds/treasury bills & other government financial instruments???
Maana nnavyojua mimi, central banks haziuzi hisa (umiliki) bali huwa zinakopa.
Vipi kuhusu utajiri wa familia ya TATA??
 
Siwezi kubisha sana. kwa sababu sio kila kitu kinavyo onekana. ndivyo kilivyo.
 
Hakika utakua iyo story umemezeshwa nawewe ukacopy na kutupestia humu Jf pasipo kufanya research.

Chukua sample ya nchi kumi (10) kati ya izo ukianza na BOT angalia board of directors kwa kila bank uone majina ya member ya iyo familia yametokea mara ngapi.Sababu hauwezi ukawa mmiiliki wa company alafu usiwe katika board of directors wala usiwe na muwakilishi.

Na kwa jinsi ulivyowaelezea kwamba wanafikia hadi hatua ya kuoana wenyewe kwa wenyewe ili kulinda na kuendeleza mali zao basi automatically lazima position za juu katika izo bank wawe wenyewe au ndugu zao wa karibu.

Anzia hapo mkuu utagundua kua uchezewa ngumu kumeza nawewe ukameza ivo ivo.

Za kUamBiwa cHaNganya nA ZAko.
Pole
 
Na Israel ni ya kwao na wale sio waebrania (Hebrew) yani wazao wa ibrahimu Bali ni was KHAZAR na mpango wao sasa ni kuanzisha a new world order ambayo itakua ni serikali moja ya dunia yenye majimbo kumi na makao makuu yakiwa Jerusalem,
 
Back
Top Bottom