Rothschild Ndiyo Familia Tajiri Zaidi Duniani

Serekali inakopa kwa sababu expenditures zetu ni kubwa kuliko revenue, ivyo tunatatizo la deficiency budget na njia inayotumika kupunguza effects za deficiency budeget ni kuincur debits kutoka kwa outside donors kama world bank,IMF pamoja na nchi tajiri kama marekani na nyinginezo.

Tatizo letu hapa sio kukopa bali mikopo tunayoichukua tunaifanyia nini pamoja na kukosekana kwa usimamizi mzuri wa pesa zilizokopwa kwa miongoni mwa viongozi wanaopewa dhamana ya kuzisimia pesa izo pamoja na miradi iliyoanzishwa na serekali.

Je kuna documents au takwimu zozote zinazoonesha BOT ipo chini ya umiliki wa hao Rothschild?

Je kuna mkopo wowote ambao Tanzania imewahi kuchukua katika familia ya Rothschild?

Je inawezekana kumiliki bank kuu za asilimia kubwa ya mataifa yaliyopo duniani alafu utajiri wako usiingie top ten katika world record.?ikumbukwe kwamba utajiri kupitia mabank ni utajiri halali na takwimu zake za mapato hazifichiki.

Ikumbukwe pia Rothschild ni familia au ukoo kabisa na sio single individual hivyo kinachopatikana kinagawanywa kwa members wote

Kitu kingine izo takwimu za 500 trillion net worth ni za mashaka sababu source nyingi zimekanusha ikiwemo Forbes na hata wewe mwenyewe umethibitisha kwamba wanaficha utajiri wao sasa kama wanaficha wewe iyo net worth ya 500 trill unaitoa wapi.

7ef005e1af6401935cb2713701180c9f.jpg
0a92eeb91b354ab99cd48c79e985839e.jpg
8236d53ee41840ebc3bcd58532bc35d3.jpg
 
“For we are opposed around the world by a monolithic and ruthless conspiracy that relies primarily on covert means for expanding its sphere of influence–on infiltration instead of invasion, on subversion instead of elections, on intimidation instead of free choice, on guerrillas by night instead of armies by day.

“It is a system which has conscripted vast human and material resources into the building of a tightly knit, highly efficient machine that combines military, diplomatic, intelligence, economic, scientific and political operations.

“Its preparations are concealed, not published. Its mistakes are buried, not headlined. Its dissenters are silenced, not praised. No expenditure is questioned, no rumor is printed, no secret is revealed. It conducts the Cold War, in short, with a war-time discipline no democracy would ever hope or wish to match.” – John F. Kennedy

Hao ni kimya kimya ukitaka kuajua vizuri go read the issues za the first multinational corporation in a world kazi iliyofanywa na watoto watano wa mzee Rothchil
 
its

inawezekana bro kama wana control system from the scratch its possible kuicontrol bot, ukiuliza Bot imejengwa kwa pesa zipi, possibly ni misaada, je nani anacontrol hiyo misaada?, then utasikia tumesamehewa madeni then jiulize how can that be simple? there so many things we do not know
Hizi ninyakati za kufungua bongo zetu inafaa zaidi kujua tunapo enda
 
Rothschild iliwekwa na mfalme wa giz miaka ming.duh kun vitu vimenitoka kidogo....heb nitarudi baadaye nikupe nondo kuhusu familia hiyo imetokea wap
 
Hakika utakua iyo story umemezeshwa nawewe ukacopy na kutupestia humu Jf pasipo kufanya research.

Chukua sample ya nchi kumi (10) kati ya izo ukianza na BOT angalia board of directors kwa kila bank uone majina ya member ya iyo familia yametokea mara ngapi.Sababu hauwezi ukawa mmiiliki wa company alafu usiwe katika board of directors wala usiwe na muwakilishi.

Na kwa jinsi ulivyowaelezea kwamba wanafikia hadi hatua ya kuoana wenyewe kwa wenyewe ili kulinda na kuendeleza mali zao basi automatically lazima position za juu katika izo bank wawe wenyewe au ndugu zao wa karibu.

Anzia hapo mkuu utagundua kua uchezewa ngumu kumeza nawewe ukameza ivo ivo.

Za kUamBiwa cHaNganya nA ZAko.
 
Mhh..mi nimebaki nashangaa shangaa na siamini macho yangu nachokisoma...ndo kilivyo ?? Na kila napojaribu ku imagine nachokisoma ndo kilivyo ki uhalisia basi basi sio waafrika tu wanaosindikiza wenzao ktk hii Dunia bali walimwengu wote wanawasindikiza hiyo familia..
 
Usi shangae mambo ndivyo yalivyo
 
Mhh..mi nimebaki nashangaa shangaa na siamini macho yangu nachokisoma...ndo kilivyo ?? Na kila napojaribu ku imagine nachokisoma ndo kilivyo ki uhalisia basi basi sio waafrika tu wanaosindikiza wenzao ktk hii Dunia bali walimwengu wote wanawasindikiza hiyo familia..

Zipo familia 13..ambazo ndo zinaisumbua dunia.zi google utazifaham zaid
 
Atleast ungesema hiyo familia inaushawishi mkubwa katika bank izo kutokana na kumiliki hisa kadhaa au kwa njia nyingine yoyote na si kwamba wao ndio wamiliki wa izo bank zote ikiwemo BOT.Hapo kidogo unaweza ukampa mtu hamu ya kuanza kufanya research juu ya jambo hilo.
The Protocols of The Learning Elders of Zion katika Protocol namba 20 inazungumzia mambo haya:

FINANCIAL PROGRAMME. Progressive tax. Stamp progressive
taxation. Exchequer, interest-bearing papers and stagnation
of currency. Method of accounting. Abolition of ceremonial
displays. Stagnation of capital. Currency issue. Gold
standard. Standard of cost of working man power. Budget.
State loans. One per cent interest series. Industrial
shares.
 
Hii family inamiliki nusu ya utakufu WA dunia Hii ni moja Kati ya member WA 13 council
Tunachokifahamu katika dunia Hii ni kidogo Sana
 
Back
Top Bottom