Rostam wamewapiga kijembe Lumumba buku saba!!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,283
33,889
Ukiisikiliza kwa makini "Chorus" ya wimbo wa kina Roma na Stamina utagundua kwamba wamewapiga kijembe watu wa mtaa wa Lumumba almaarufu kama Buku saba.

Ukisikiliza ile "Chorus" vizuri utagundua kwamba kwenye makanisa huwa haiimbwi vile badala yake Roma na Mwenzake wameitumia kuwapiga kijembe waimba pambio wa mtaa wa Lumumba!!

 
😎😎😎
IMG_20200511_162258.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom