Rostam ulituongopea, hukuachana na siasa uchwara!

MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,013
1,443
Nimefuatilia sana mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM lengo likiwa ni kuona how fair unaweza kuwa!Bahati mbaya sana nimekutana na harufu kali ya uwepo wa mweka hazina na mbunge mstaafu wa chama cha mapinduzi!

Nijuavyo mimi Bashe ni msimamizi wa ''biashara nyingi za RA''! Nguvu na jeuri aliyoionyesha ndani ya kipindi hiki cha chaguzi ndani ya ccm inaonyesha kuna mtu yuko nyuma yake!

Hapa najiluliza hivi hakutumwa na RA kuja kumsaidia EL? Kama sivyo anatumia pesa ya nani kufanya mambo yote haya? Bashe huyuhuyu aliyetuhumiwa kuwa sio raia na chama chake iweje leo aonekane mwenye nguvu ndani ya CCM ya kupika Raisi ajaye? Na ili apate nini? Kaitoa wapi nguvu ya kusikilizwa hivi!

Maswali haya yananirudisha kwenye swali kuwa Je Rostam ulituongopea? HUKUACHANA NA SIASA UCHWARA? ULITENGENEZA MTU WA KUKUFANYIA SIASA HIZO?

Waungwana mnijibu...
 
Hata shetani nae ukimsingizia sana, Mola atakulani. Ilikuwa kila kukicha wimbo ni Rostam. Rostam huyo akabwaga manyanga na kupotea zake, bado tu anaonwa ndie mchawi. Mchawi wa CCM ni watanzania wenyewe. Manake kama hamuitaki mbona kila uchaguzi mnaichagua CCM kuongoza nchi. We need to shut up!
 
Ngoja tukufungue akili we kdg Rostam aliacha kwa makusudi ili kumvunja nguvu chenge na EDO ili nao waache waswahilina waendlee kula bata kwa uhuru wao. Bro Edo na chenge wakastuka lol.

Kinachoendelea juu ya bashe ni hauwezi kujua la mbele amewekwa ili awe kiungoo hiyo ndio siasaa
 
hata shetani nae ukimsingizia sana, mola atakulani. Ilikuwa kila kukicha wimbo ni rostam. Rostam huyo akabwaga manyanga na kupotea zake, bado tu anaonwa ndie mchawi. Mchawi wa ccm ni watanzania wenyewe. Manake kama hamuitaki mbona kila uchaguzi mnaichagua ccm kuongoza nchi. We need to shut up!
hiki ni kiini macho tu mkuu ra yupo live!mishemishe za bashe strategy zote nadhani zinatoka kwake!dogo mamilioni ya kugawa kayatoa wapi!
 
Nimependa hapo TU nilipo Underline aka Bold na Kukuza
Nikunukuu tena, Mchawi wa CCM ni Watanzania wenyewe.
Tanzania itajengwa na Watanzania.

Hata shetani nae ukimsingizia sana, Mola atakulani. Ilikuwa kila kukicha wimbo ni Rostam. Rostam huyo akabwaga manyanga na kupotea zake, bado tu anaonwa ndie mchawi. Mchawi wa CCM ni watanzania wenyewe. Manake kama hamuitaki mbona kila uchaguzi mnaichagua CCM kuongoza nchi. We need to shut up!
 
Hakika!natamani mwl angeamka aone chama alichokiacha! Watu wanatumia pesa waziwazi kutafuta urais tumekwisha!
 
ila ni kweli huyu jamaa ukimuangalia hajakaa kabisa kitanzania sijui ni msomali yule...RA yupo behind the scenes na yeye na EL ni group moja we unafikiri hela zinatoka wapi
 
Aibu ni kwa hao wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM. Iweje wakubali kuhongwa na kudhalilishwa hivi? kwani wao kilicho bora huwa hawakioni? kuchagua kiongozi kwa kupewa fedha huo ni UZUMBUKUKU uliopita kipimo cha kufikiri
 
Hata shetani nae ukimsingizia sana, Mola atakulani. Ilikuwa kila kukicha wimbo ni Rostam. Rostam huyo akabwaga manyanga na kupotea zake, bado tu anaonwa ndie mchawi. Mchawi wa CCM ni watanzania wenyewe. Manake kama hamuitaki mbona kila uchaguzi mnaichagua CCM kuongoza nchi. We need to shut up!
Shetani ni Baba wa Uongo: Mda mfupi baada ya Rostam huyohuyo kusema matusi hayo dhidi ya Rais Kikwete na ccm, walikwenda kumwangukia na yeye akakubali:

Ghafla amamteua Prince Bagenda kuwa Mhariri mtendaji wa Habari Corp.
Prince Bagenda ni kada maarufu wa CCM na amewafukuza waandishi wengi ambao walikuwa upande wa upinzani na kuwaleta watu wake ambao alikuwa nao pale Taifa Tananzania!!!

Rostam ni Mnafiki na CCM ni wanafiki lengo lao wanataka kupata madaraka ili waendelee kupora mali ya umma!!!
Kamwe Rostam hawezi kuachana na siasa kwani ndio mtaji wake wa kupora mali za umma!!!!
Rostam si Raia na Bashe si raia lakini ndio wanapopora mali za nchi hii~~~~~~~~~
 
Hakika!natamani mwl angeamka aone chama alichokiacha! Watu wanatumia pesa waziwazi kutafuta urais tumekwisha!
NI HATARI SANA MKUU. WEWE NGOJEA TUU ccm IMPITISHE EL. Utaona waasia wanajitokeza kwa wingi sana kuchukua mafomu ya ubunge huko katika mikoa waliyozaliwa wakati wa ukoloni. Kumbuka Gulamali na Bhiku Mohamedi walijitosa baada ya kusikia nchi inatakiwa na Iran.
 
CCM ina wakati mgumu sana. Pamoja na kumilikiwa na mafisadi wenye pesa nyingi, kifo chake kitatekelezwa na makundi yaliyoko ndani yake.
 
Bashe amezungumza na waandishi wa habari na kutoa kauli chafu juu ya membe na kuwa atapita kwa wajumbe kufanya kampeni ili membe asichaguliwe NEC ya CCM. Naona amechaguliwa sasa kifuatacho ITV ni nini? wana JF tupeni uelekeo wa huyu Bashe na waliomtuma amnyee membe kwenye hadhara ya wana CCM na sisi tusio wana CCM.
 
Shetani ni Baba wa Uongo: Mda mfupi baada ya Rostam huyohuyo kusema matusi hayo dhidi ya Rais Kikwete na ccm, walikwenda kumwangukia na yeye akakubali:

Ghafla amamteua Prince Bagenda kuwa Mhariri mtendaji wa Habari Corp.
Prince Bagenda ni kada maarufu wa CCM na amewafukuza waandishi wengi ambao walikuwa upande wa upinzani na kuwaleta watu wake ambao alikuwa nao pale Taifa Tananzania!!!

Rostam ni Mnafiki na CCM ni wanafiki lengo lao wanataka kupata madaraka ili waendelee kupora mali ya umma!!!
Kamwe Rostam hawezi kuachana na siasa kwani ndio mtaji wake wa kupora mali za umma!!!!
Rostam si Raia na Bashe si raia lakini ndio wanapopora mali za nchi hii~~~~~~~~~
Ni kweli kabisa mkuu!RA hana namna nyingine ya kuwa na pesa endelevu zaidi ya kuiba serikalini ndio maana anahaha kumweka mtu wake CCM!Lakini kwa Unafiki amejifanya kaacha siasa huku akianza urafiki na Zito!CDM na hasa Zito muwe makini na huyu jamaa ni mbaya kuliko ubaya wenyewe!
 
Watanzania bado sana hivi kukaa kitanzania unatakakiwa uweje?

Kama tulivyo wazalendo wakweli ,wanyonge na maskini ndani ya nchi yetu yenye kubalikiwa kila aina ya utajili ambayo inapolwa na wachache akiwemo RA,EL, RITZ na wengine wachache
 
Wenye pesa ndio wanarun dunia...hata democratic cha obama kina watu wenye pesa.PAYMASTER kama kina George soro.
Republic nao wana watu wao akina Jacob Rothlchild,rockfeller etc.
Tena nchi kama america mabanker,military industrialist complex,ndio wanainfluence politics agenda.
Na huo ndo ukweli wenyewe.
 
Back
Top Bottom