Rostam - Serukamba: A friend in need...

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
2sbvdz5.jpg

Halafu huu mkao wa mbunge wa Kigoma mbona unatia shaka ati???????????
 
Tusema yeye anaangalia nini haswa ???? No, hayo ni mawazo ya kukosa ubunge this 2010!
 
Serukamba, fisadi mtoto mtarajiwa, analelewa katika mfumo ambao utamkomaza very soon, akikomaa atakuwa kama Lowassa, Karammagi na kina makamba.
ila umri wake na mwenendo wake namuona ni kama Makala tu,maana nasikia Makala anamwaga pesa ile mbaya kule Morogoro, ni tunda la utetezi zidi ya mafisadi.
 
Ofcourse kwa mazingira yetu ya kibongo ukizaliwa tu umeshakuwa fisadi, sasa inadepend huko mbele kama unatambua kosa na kuchange your ways. The Serukamba way is mainly kujikomba in the name of freedom of thinking and association!
 
thats right Mnyambala, i agree with U.
LABDA NIONGEZEE JAMBO MOJA, kila mtumishi wa umma ni fisadi, hence inadepend umefisadi ni na wapi na wakati gani ? na ulipofanya ufisadi nani alikuona.....na baada yakuonwa ulizuia kiasi gani usirepotiwe kwenye vyombo husika.
Serukamba, Mtoto wa JK, Makala na wengine wa kariba hiyo, kweli wanalelewa katika mazingira ya rushwa na ufisadi, na wenyewe wanafurahia hali hiyo, na kama halli ya mfumo wa utawala haitabadilika , tunawatarajia waje kuifisadi zaidi hii nnchi.
 
Tafsiri ya kiusanii (si kisanii) ya picha hiyo, inaonyesha Mh. Serukamba amekaa mkao wa mtu anayejikomba kwa mtemi RA - a bootlicker na kumuonyesha RA katika mkao wa kutojali kitu dani ya Jumba - with a devil may care attitude. Hii si picha nzuri kwa bwana Serukamba. Kwa tusiojua uhusiano wa hawa watu, twaweza sema mpiga picha na mhariri wake wamemnyanyasa huyu mheshimiwa kwenye media.
 
Back
Top Bottom