Elections 2010 Rostam: Nilikuwa South Africa

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
News za ITV leo jion bwana kinana anasema JK hauwepo kwenye kikao cha kuchakachua matokeo kama ilivyonukuliwa na barua inayozunguka umu JF.
Na RA akasenma siku iyo yeye alikuwa Sauziiiiiiiiiiiii
MY TAKE
Ivi hawajui kuwa kuna barua ambayo inaonyesha kuwa walikaa kikao?
Manake kinana hajaongelea barua hiyo badala yake anasema ahayo aliyoyasema
Ama kweli huu ndo ulimwengu wa kujibu hoja bora liende
 
Hoja ya Rostam haina kichwa wala miguu.

1. Ukiondoka nchini kwako, passport yako inagongwa muhuru (EXIT) na tarehe ya kuondoka.

2. Nchi unayokwenda, unapoingia, airport immigration officials wanagonga - baada ya kuthibitisha VISA yako - muhuri wa kuingia (ENTRY) wenye tarehe hiyo

3. Unapoondoka ugenini, unagongewa muhuri wa kuondoka (EXIT), wenye tarehe hiyo ya kuondoka

4. Unaporejea kwako unagongewa muhuri wa kuingia (ENTRY), wenye tarehe hiyo uliyofika

Rostam anatuonesha passport yenye mihuri miwili, ya KUONDOKA na KUINGIA Tanzania. I wapi mihuri ya KUINGIA na KUONDOKA Afrika Kusini?

Bila hiyo mihuri, HANA UTHIBITISHO kwamba ni KWELI alisafiri!

Imekula kwake! Asitufanye sisi wajinga! MPEKEKEENI HII AKASOME!

-> Mwana wa Haki
 
R A amechakachua mihuri kwenye passport yake asitufanye sisi wajinga. Atuambie ni Airport gani alishukia huko Sauzi ilitufatilie. Aliondoka na Airline gani? mihuri ya kuchakachua hata mimi naweza kuipata.
 
Hoja ya Rostam haina kichwa wala miguu.

1. Ukiondoka nchini kwako, passport yako inagongwa muhuru (EXIT) na tarehe ya kuondoka.

2. Nchi unayokwenda, unapoingia, airport immigration officials wanagonga - baada ya kuthibitisha VISA yako - muhuri wa kuingia (ENTRY) wenye tarehe hiyo

3. Unapoondoka ugenini, unagongewa muhuri wa kuondoka (EXIT), wenye tarehe hiyo ya kuondoka

4. Unaporejea kwako unagongewa muhuri wa kuingia (ENTRY), wenye tarehe hiyo uliyofika

Rostam anatuonesha passport yenye mihuri miwili, ya KUONDOKA na KUINGIA Tanzania. I wapi mihuri ya KUINGIA na KUONDOKA Afrika Kusini?

Bila hiyo mihuri, HANA UTHIBITISHO kwamba ni KWELI alisafiri!

Imekula kwake! Asitufanye sisi wajinga! MPEKEKEENI HII AKASOME!

-> Mwana wa Haki

hawa watu wanaweza kutengeneza hata muhuri wa sauz ,wahuni na mafisadi sio watu kabisa wanaweza kunywa uji wa mgonjwa
 
Tatizo sio alisafiri au hakusafiri, maana hiyo haihusiana kabisa na kikao. Ajibu alikuwa anafahamu hicho kikao na alihudhuria au hakuhudhuria, hayo mambo mengine hayatuhusu sana. HAKUNA MTUHUMIWA ASIYEKUWA NA USHAHIDI WA KUKANA MASHTAKA, HAONI HATA JK AMETULIA MAANA ANAJUA NDIYO ILIVYO.
 
Ivi hakukuwa na waandishi wa kupiga picha iyo mihuri kwenye passport bse yanaweza tokea kama yale ya Kinana na receipt za ndge aliotumia mama Salma
 
Back
Top Bottom