Marunda
Senior Member
- Mar 3, 2010
- 121
- 29
WanaJF nimejiuliza maswali mengi sana yasiyokuwa na majibu. Inakuwaje Rostam na uwezo wote alionao lakini bado anapigana kuwa mbunge wa IGUNGA, wananchi wa IGUNGA wamenufaika na nini kwa rostam kuendelea kuwa mbunge wao maana shule bado zinajengwa na serikali barabara nazo vilevile. Mwisho nimejipatia majibu haya
Rostam; anamiliki 35% ya hisa vodacom, anashare barick tanzania, migodi yote mikubwa tanzania mitambo inyotumika ni ya kwake anakodisha kwa makampuni. Unategemea nini toka kwake?? Yupo pale kwa mashlahi ya bishara zake na za wahindi wenzake.
The guy is very inteligent anajua move yeyote yenye mabadiliko katika nchi inaanzia bungeni na ndio mahali anaweza kuonana na kila waziri na kila mbunge ili aweze kufanya mambo yake.
Dawa ni kuhakikisha anakosa ubunge then tunamuondoa kwenye system kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mwizi mkubwa wa rasilimali za nchi yetu huyu jamaa. :A S cry::sad::A S cry::sad::A S cry::sad::A S cry::sad: