Rostam na ubunge kuna maslahi gani??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rostam na ubunge kuna maslahi gani???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Marunda, Nov 11, 2010.

 1. Marunda

  Marunda Senior Member

  #1
  Nov 11, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  WanaJF nimejiuliza maswali mengi sana yasiyokuwa na majibu. Inakuwaje Rostam na uwezo wote alionao lakini bado anapigana kuwa mbunge wa IGUNGA, wananchi wa IGUNGA wamenufaika na nini kwa rostam kuendelea kuwa mbunge wao maana shule bado zinajengwa na serikali barabara nazo vilevile. Mwisho nimejipatia majibu haya

  Rostam; anamiliki 35% ya hisa vodacom, anashare barick tanzania, migodi yote mikubwa tanzania mitambo inyotumika ni ya kwake anakodisha kwa makampuni. Unategemea nini toka kwake?? Yupo pale kwa mashlahi ya bishara zake na za wahindi wenzake.

  The guy is very inteligent anajua move yeyote yenye mabadiliko katika nchi inaanzia bungeni na ndio mahali anaweza kuonana na kila waziri na kila mbunge ili aweze kufanya mambo yake.

  Dawa ni kuhakikisha anakosa ubunge then tunamuondoa kwenye system kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mwizi mkubwa wa rasilimali za nchi yetu huyu jamaa. :A S cry::sad::A S cry::sad::A S cry::sad::A S cry::sad:
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135

  Umejiuliza swali zuri na ukalijibu vizuri...

  Kipengele cha pili akoseshwe ubunge... Hapo ndipo kwenye kina cha hoja!!
   
 3. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Anatafuta Diplomatic passport na kulinda maslahi ya kampuni zake kama caspian n.k
   
 4. p

  papichulo Member

  #4
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa ni mfanyabiashara kama wafanyabiashara wengine, he is not an indian and he is damn smart!!! Watu wanamwonea wivu tu..
   
 5. Double X

  Double X Senior Member

  #5
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lakini pamoja na utajiriwake wote IGUNGA nzima haina A' Level school-its shame!!!
   
 6. T

  TrueVoter JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 873
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 80
  ..ndio umejua leo? nenda kalale tena!
   
 7. j

  j4marunda Member

  #7
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Brother ni kweli umeuliza swali na kutoa jibu! ila hapo pakumnyima kura---------!!! tuwangalie wale watu wa Ingunga ni nini interest zao----! pengine peremende au tende kwao yatoshaaaa!! watamnyimaje kura?.Kama wilaya nzima haina high school! wananchi wanalala kwenye nyumba za tembe! -------Ujinga wao ndio mtaji wake!!
   
 8. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huyu ni bepari ambaye yuko tayari kutoa sponsorship kwenye kampaign za ubunge na urais ili maslai yake yaweze kusimamiwa vyema. Na watu anao wasponsor wataimba wimbo wake tu, na kukaa kwake bungeni ni kuhakikisha anawamonitor wale wote aliowasponsor wasije mtapeli
   
 9. K

  Kiti JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mbona nasikia kuwa ni rafiki mkubwa wa JK? Kenye kampeni za mwaka 2005 alikwenda Emirates kuomba na akapatiwa fedha kwa ajili ya kampeni za JK, hilo tunajua na aliwaambia huko Emirates kuwa alikuwa anategemea kuwa PM. Ngoma nzito, kumbuka ukimgusa huyo, umemgusa JK
   
 10. J

  Jafar JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  To grab both political and economic powers
   
 11. sensa

  sensa JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kweli analinda interest zake hilo halina shida kwani hata kampuni nyingi viongozi wake wanajaribu kujenga mahusiano mazuri na viongozi wa nchi kwa manufaa yao zaidi ila katika hali zinazokubalika machoni pa watu wenye akili ya kutambua mambo kwa uhalisia wake.Sasa huyu amekuwa akisikika kuwa kinara wa maovu mengi yaliyotokea miaka ya karibuni,kwa maana hiyo ni mtu wa mbinu chafu,ni mchafu na hatufai hata kidogo.amediriki kunua hata chombo kimoja cha habari ambacho kinaandika habari za kuwakashifu wapinga ufisadi.
   
 12. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Nothing else.
   
 13. chobu

  chobu JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hakuna mtu wa kumuonea wivu huyo gabachori mwizi mkubwa, jambazi wa mali zetu.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!cha ajabu kipindi cha malalamiko ya mafisadi ilisemekana kuwa kumgusa gabachori uchumi wa nchi utatikisika. Huyo GABACHORI kashikilia uchumi wa nchi ndiyo maana JK anamtegemea sana..............Kumtoa kwenye system ni kazi kubwa sana...........maana silaha yake ni pesa.....................lakini iko siku. Hakuna kisichokuwa na mwisho.
   
 14. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  toa kwanza boriti ndani ya jicho lako kisha ndipo utoe kibanzi kwenye jicho la jirani.

  Nimesomeka.
   
 15. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  ni wananchi tu. wakiamua atatoka nje ya siasa kwa nguvu ya umma. that is very possible.
   
 16. BABA JUNJO

  BABA JUNJO JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nashukuru watu mmeanza kuamka. sasa ukiamka sio lazima ufanye kila kitu saa ile ile uliyo amka, kwenda ******, kunawa uso kuvaa nguo n.k. Kistaarabu kama mmeshaamka kwanza elimu isambae kwa wananchi kisha nguvu ya umma itafanya kazi yake. kwa hvyo watu wa igunga wakipata elimu wasema wenyewe kwani wanamfahamu vizuri ndugu yao lakini leo wana mwogopa kwa sababu ya ujinga wao.
   
Loading...