Rostam, Mkapa kuungana kampeni za CCM Igunga

mluga

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
676
215
Ngoma inogile Mzee Mkapa kuongoza kampeni za CCM.
 

Attachments

  • RELEASE-CCM.jpg
    RELEASE-CCM.jpg
    160.9 KB · Views: 254
Mzee wa watu wanamwingiza kwenye matope tu. kuharibu waharibu wao,wamtumie yeye kujinasua!
 
Its too late, hata aende mkapa bado hali ni tete CCM. Na taarifa yenyewe imetolewa na Nape, mzee wa propaganda!! Kwa hiyo ni sehemu ya kazi zake kuwahadaa wapinzani wake.
 
Kifo cha nyani miti yote huteleza, haijalishi ni nyani mtoto au mkubwa. Waache watape tape tuu mwisho wa siku wataumbuka tuu
 
Kazi yake Mkapa anayojua ni kuwaita wapinzani majina ya ajabu ajabu tu. Lakini this time tumekwishamshtukizia!
 
Mkapa kama amekubali kwenda kufanya kazi hiyo basi anakwenda kujivunjia Heshima kwa sababu atashushiwa Makombora tu,Heri alivyokaa Kimya!!

He truly needs to think twice,tuna maeneo Lukuki ya kumbomoa!!
 
mkapa yule fisadii wa anben ndiye mtaji pekee wa kisiasa waliyobakiza ccm, kweli nimeamini ccm imefilisika.
 
Mkapa kama amekubali kwenda kufanya kazi hiyo basi anakwenda kujivunjia Heshima kwa sababu atashushiwa Makombora tu,Heri alivyokaa Kimya!!

He truly needs to think twice,tuna maeneo Lukuki ya kumbomoa!!
 
Hongera kwa kuamua kujiunga na kutumia jf kama mahali pa kutoa habari na maoni yake kama haki yako ya kikatiba!
Humu jf, viongozi wengi wa cdm, ccm na cuf ni member. Kwahiyo wakujipanga, wakuchukua tahadhari na wakujilinda, wote wamekusoma. Hope wataifanyia kazi hii thread!
 
Tatizo lenu hamuunganishi doti. kumbukeni mkapa ndo aliyemweka Rostam kuwa mweka hazina wa chana na Kikwete akaja akamtoa na kumweka amos makala. kwa hiyo kupitia kwa mkapa wanaigunga watajua huyu ni swahiba wa mbunge wao waliyekuwa wakimpenda no matter iwe kwa pesa zake au kwa vyovyote vile iwavyo. kwa hiyo mkapa is the right choice at a right time and right place kwa ccm.
Natamani kama ccm wangelipoteza hilo jimbo. it could sound good. walk up wapinzani.
 
Nadhani atakuwa ni msaada mkubwa sana kwa CCM. Huyu mzee huwa haogopi mtu yeyote, nakumbuka alivyodiriki kuwaita Chadema KOKOTO pale Jangwani. Chadema walilalamika sana lakini jamaa hata hakuogopa.
 
Ni mkapa yupi huyo! Ben Mkapa wa ccm!?
Huyu aliyejibinafsishia kiwira kwa 70mil baada ya psrc kudhaminisha kwa 700mil?
Ni huyu ambaye baada ya miaka mi3 tu ikulu Mrema akasema amehongwa 500mil na alipomshtaki akashindwa kesi!?
Ni huyu aliyejiuzia nyumba ya serikali masaki kwa 60mil baada ya kuikarabati kwa 60bil!?
Ni huyu serikali yake ilisema hata tukila nyasi, lazima anunuliwe ndege!?
Ni huyu aliyewavua uraia watanzania waliokuwa wakipingana na utawala wake!?
Ni huyu aliyesema anaingiliwa na waingereza waliposema rada imenunuliwa kifisadi!?
Ni huyu ambaye serikali yake chini ya Chenge waliingia mikataba yote ya kinyonyaji ya madini!?
Ni yupi huyo?
Au ni Ken Mkapa wa Yanga!
Kama ni yeye basi amejisahau sana maana alisema hataongea kitu kwa kuwa huwezi kuzuia mtu kusikia ila kuongea ni maamuzi yake!
Hebu ngoja tumsikie!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom