Mmelinzisha wenyewe,
linyweni wenyewe,
malizaneni wenyewe mpaka muishe kabisa.
Peeeeepooozzz......power!
Imewafikasha hapo.
Na bado, magamba wakubwa nyie,mtakulana sana mafisadi na wezi wakubwa wa nchi hii.
Yaani watu kwa umaskini mlio watia wanachoma moto maskini mwenzao aliye kwapua simu ya sh 15000 kwa ajili ya njaa, halafu hana cha kuwafanya nyinyi mloiba na kuendelea kukwiba mabilioni kwa mabilioni yao!
Mtaisha tu.
Kuna wakati dua la kuku humpata mwewe,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.