Rostam Azizi alifanya Papara Kungatuka

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
wiki leak yawapa afuweni na manusura mapacha walio salia ,huku mapacha hao wakiwa mbioni kuzifanyia kazi shutuma alizo shutumiwa mwenyekiti.
 
wiki leak yawapa afuweni na manusura mapacha walio salia ,huku mapacha hao wakiwa mbioni kuzifanyia kazi shutuma alizo shutumiwa mwenyekiti.

Unatumiwa na lowassa bila kujijua!mwambie mzee wa "maamuzi magumu" ngonyani lowassa anatakiwa kufanya maamuzi magumu kama swahiba wake Rostam
 
Mmelinzisha wenyewe,
linyweni wenyewe,
malizaneni wenyewe mpaka muishe kabisa.

Peeeeepooozzz......power!
Imewafikasha hapo.
Na bado, magamba wakubwa nyie,mtakulana sana mafisadi na wezi wakubwa wa nchi hii.
Yaani watu kwa umaskini mlio watia wanachoma moto maskini mwenzao aliye kwapua simu ya sh 15000 kwa ajili ya njaa, halafu hana cha kuwafanya nyinyi mloiba na kuendelea kukwiba mabilioni kwa mabilioni yao!
Mtaisha tu.
Kuna wakati dua la kuku humpata mwewe,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom