ROSTAM AZIZ wa South Africa

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Nashangaa CCM bado hawajabid kununua JAMBO FORUMS which would come as cheap as peanuts.Unless JF bado haina impact kama invyokuwa hyped. Imagine Mwanakijiji angeweka zile picha...

Close allies of President Thabo Mbeki have bid for an influential South African media group which includes a newspaper critical of the government.

His personal adviser and a foreign ministry official are in a consortium offering R7bn (£1bn, £500m) to buy Johncom, which owns the Sunday Times.

BBC NEWS | Africa | Mbeki allies seek critical paper
 
this doesnt act as a big influence to our leaders baada ya watu kuja hapa na kuiharibu na wenyewe wanajijua ! kilichobaki ni kugeuzia watu kibao kwamba wao wanaiponda !

CCM haina haja ya kununua JF, maana any time wanaweza kuja na forum yao ya vijana, maprofesa, viongozi wa vyama vya upinzani, yes viongozi wa upinzani na hata members wa JF wakahamia huko !

Ingeitwa THE KADA'S GREEN FLAG FORUM na trust me, inaweza kuvutia watu wengi you'll never imagine !
 
GAME THEORY,
Nimeangalia mada zako kwa siku za karibuni- baada ya kubadili to GAMETHEORY from WHO umekuwa mtu muungwana zaidi- nadhani pia umekuwa mtu mwema zaidi! Your posts are really educative and we learn a lot from you!

Mimi Mkristo kuna Askofu mmoja anakaribia kusfaafu wa RC kule kwetu- katika jina lako jipya ningekupendekeza kwa papa uwe askofu! Kwani umekuwa mtu tofauti sana na zamani! (I may be wrong!)

Hivi lile jina la zamani la WHO mbona you were somehow harsh for members, especially new ones?

What was the main motive to change to GAMETHEORY and why?
Ni hilo tu nilitaka kukuuliza!
 
ni ukweli usiofichika kwamba nipo online 24/7 na hiyo inatokana na mimi binfasi KUTOPENDA kusign out na kusign in kila mara, maana utakuta naingia JF kila mara ninapokuwa na chance ya mtandao, mara nyingi huwa natumia computer tofauti na vile vile naacha kusign out, ndio maana !

kwa kweli nadhani mkuu hasara, hujaelewa nini nilichosema !
mkuu mwanzilishi wa hii mada, alileta atiko inayoelezea watu wa karibu wa mzee mbeki kutaka kununua web fulani, na ndio hapo watu wakasema kwa nini ccm wasinunue jf, wengine wakajibu kwamba jf ni ya watz wote, which i totally agreed to that statement, na nikaja nikasema kwamba ccm haina haja ya kununua jf kwani hata kama wao wakitaka wanaweza kuwa nayo na ikavutia watu wengi hadi akina mbowe, na wenzake !
sasa hayo mambo ya kuniuliza kwa nini nipo hapa jf yanatokea wapi ?

sijatumwa na mtu yoyote kuja kuwa member hapa, walionivutia ni hao wakuu kabisa wa forum hii waliokuwa mahiri kuchanganua mambo ila pale tu nilipoona hatukubaliani i had to choose sides !

WANAJF NAOMBENI MKAE MKIJUA KWAMBA, SIFAHAMIANI NA KIONGOZI YOYOTE WA CCM WALA UPINZANI NA HIVYO SIJATUMWA NA YOYOTE ! SIJUANI NAO KABISA HAO WAKUU, NA WALA SIJAWAHI KUWAONA, HUWA NAWAONA KWENYE KIDEO AU KWENYE MAGAZETI NA SAA NYINGINE HAPA JF TU ! SINA UHUSIANO NAO KABISA ! (AM I TELLING THE TRUTH ????)
 
Nashangaa CCM bado hawajabid kununua JAMBO FORUMS which would come as cheap as peanuts.Unless JF bado haina impact kama invyokuwa hyped..imagine Mwanakijiji angeweka zile picha...



http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/7079636.stm

JF haiwezi nunuliwa, at most watatuma watu waiharibu tu. In order for JF to be bought au iwe a threat ni lazima ianze kujenga credibility na kuwa na waandishi wa makala na habari mbali mbali kama kina mwanakijiji and then the rest yaani sisi tuwe tuna comment on news na makala posted. hii free style ya kila mtu kubandika breaking news etc wont make it happen. tutabaki kuwa kibaraza cha mazungumzo tu ambayo yatasikika but kuyeyuka over time.
 
GAME THEORY,
Nimeangalia mada zako kwa siku za karibuni- baada ya kubadili to GAMETHEORY from WHO umekuwa mtu muungwana zaidi- nadhani pia umekuwa mtu mwema zaidi! Your posts are really educative and we learn a lot from you! Mimi Mkristo kuna Askofu mmoja anakaribia kusfaafu wa RC kule kwetu- katika jina lako jipya ningekupendekeza kwa papa uwe askofu! Kwani umekuwa mtu tofauti sana na zamani! (I may be wrong!)
Hivi lile jina la zamani la WHO mbona you were somehow harsh for members especially new ones?
What was the main motive to change to GAMETHEORY and why?
Ni hilo tu nilitaka kukuuliza!

Mzalendohalisi

Mbona nilieleza kwa kinaga ubaga kwa nini nilibadilisha jina? labda ulipitwa tuu.

Anyway unajua nilipewa referal na mmoja kati ya members humu JF sikuichukulia hii forum serious na bado still naweza kukuambia kuwa hii forum haichukuliwi that serious kama tunavyotaka kufikiria japo kama kuna baadhi ya vitu vikirekebishwa basi sky is the limit na hata wakitokea wanunuzi basi bei itakuwa inaliapa sana.


Niliamua kutumia jina la DR WHO kwa sababu wikiendi niliyojoin nilikuwa naangalia Tv Series ya DR WHO na sikuona sababu ya kufikiria sana jina kwani nilihisi itakuwa ni yale yale ya kupiga soga kama forums nyingi za waTZ zilizoanza kisha zikaishia njiani

Sababu ya kuchagua jina la GAME THEORY ni kwa sababu ni theory ambayo lazima iwe applied katika mambo mengi na zaidi niliipenda wakati nasomea mambo ya kimataifa. Zaidi ya hiyo kuna thoery nyingine ambayo inaitwa STAGHUNT theory ambayo CCM au WAPINZAN wangekuwa na ma strategists wazuri basi wasingekuwa wanatumia mapesa mengi bila mpango

Na zaidi ya hayo Game Theory haswa kwetu sisi watu wa IR na humanities tunaamini umuhimu wa kutumika katika katika kusimulate real-life situations ambazo zina five elements nazo ni:

1. players, or decision makers;
2. strategies available to each player;
3. rules governing players' behavior;
4. outcomes, each of which is a result of particular choices made by players at a given point in the game; and
5. payoffs accrued by each player as a result of each possible outcome.


Sasa katika hizi games zinaassume kuwa kila mchezaji atapursue the strategies that help him or her to achieve the most profitable outcome in every situation. Mfano mzuri ni Al Qaeda na Taliban kule Afghanistan.



GAME THEORY

Game_Theory_prisoners-dilemma.gif


application ya game theory kwenye International Relations


Hii haimaanishi kuwa wao wanajua zaidi hii GAME THEORY lakini wameonyesha uwezo mkubwa sana wa ku utilise hii theory kuliko wale ma Planners wa Pentagon au hata jamaa wa department of Defense as a whole zaidi tafuta hiki kitabu:


The Strategy of Conflict
-Thomas C. Schelling

nadhani nitaishia hapo kuhusu jina la GAME THEORY kwani tukianza kuzungumzi hilo hatutamaliza

Kuhusu kuwa niko calm nadhani kuna sababu nyingi na moja wapo ni kuwa sioni faida yake na kwa kweli sioni sababu ya kujiingiza kwenye mijadala ambayo sijui kitu hivyo saa zingine ni vizuri kwangu kusoma zaidi kuliko kubishana.

Kuhusu kuwa nominated kuwa Padre katika kanisa lako la RC naweza kukuambia kuwa mimi sipendelei kabisa mambo ya dini yaani yaniboa haswa lakini haimaanishi kuwa nitakuwa sina opinion kuhusu hizo politics za kidini. Mfano mimi napinga jina la Mungu kutajwa kwenye wimbo wa Taifa kwa kuanza sasa hiyo unajua ninakuwa na alienate quite big constituency ya watu hasa ukizingatia kuwa sisi waafrika tumekuwa programmmed tupende dini kuliko hao waliozileta kwetu. Hivi ushajiuliza kwa nini serikali haishi kuimba kuwa WATANZANIA WANAYODINI LAKINI SERIKALI HAINA DINI! lakini wako tayari kumuimba Mungu kwenye nyimbo ya Taifa.

Anyway hayo tuyaache kwa sasa lakini nadhani umeridhika na majibu yangu unless una la zaidi.
 
JF haiwezi nunuliwa, at most watatuma watu waiharibu tu. In order for JF to be bought au iwe a threat ni lazima ianze kujenga credibility na kuwa na waandishi wa makala na habari mbali mbali kama kina mwanakijiji and then the rest yaani sisi tuwe tuna comment on news na makala posted. hii free style ya kila mtu kubandika breaking news etc wont make it happen. tutabaki kuwa kibaraza cha mazungumzo tu ambayo yatasikika but kuyeyuka over time.

Bosi everything has a price in this day and age! Kama nchi inauzwa sasa iweje JF isiwe na price?
 
GAMETHEORY,
Nilikuwa shambani kidogo kuvuna mafenesi- sasa nimerudi!
Ahsante- once more your response is so analytical, for many Tanzanians to learn! One quick observation- I hope you believe kwenye uungwana ndo maana nikaongelea uaskofu (haumanishi maaskofu wote ni watu waungwana) - ila kwa Tanzania Uaskofu ni Title yenye sifa kubwa!
1. Unajua jamii zetu zipo Tz katika mda tofauti wa maendeleo na DCs- na dini katika hali hii hupewa uzito! Mimi tu kitu sipendi ni kasumba kuwapa watoto wetu majina ya Kizungu ya Kikiristo badala ya yale ya Kiafrika- sijui lini tutaamka!

2. GAME sasa sii mchezo tu? Game sounds far from real life! May be if we may talk of Reality Theory to bridge the gap and touch real life!
 
Back
Top Bottom