Rostam Aziz ni kinara wa kupambana na covid-19 ,Amenunua Body sanitizers 25

Wanabodi,Mnyonge mnyongeni lakini kwa kutoa hizi body spray sanitizers ambazo watu wengi tulikuwa tunaziona ulaya na Asia zitasaidia sana,

Serikali baadae mfikirie jinsi ya kurahisha biashara za Rostam hasa kumpunguzia kodi ,Amefanya jambo kubwa sana kuokoa maelfu ya watanzania kwenye misongamano,

Sasa kila mtu atakuwa anapulizwa na dawa mwili mzima kisha anaingia sokoni

Hizi body spray sanitizers zitawekwa sehemu zenye mikusanyiko mikubwa mfano soko la kariakoo Dar es Salaam

Zimekabidhiwa na kufanyiwa majaribio na mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda

Zipo ishirini na tano tu,Nashauri Makanisa na Misikiti mumuone Rostam ikiwezekana awasaidie wapi mtaweza kuzinunua ili muendelee kuabudu na kuswali

Kwa kuwa tuna Dreamliner ya kubeba watu nashauri serikali imtumie Rostam vizuri ili atusaidie kwenye hili jambo kwa kupakiza body spray sanitizers za kutosha

Kweli Rostam ni nguli wa manguli ,kwa hili la body spray
sanitizers

Kwa ambaye hajawi kuziona angalia picha kushoto ni Rostam Azizi akipulizwa dawa na kulia ni Paul Makonda akipulizwa dawa

Zaidi, soma

RC MAKONDA APATIWA SHEHENA YA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KUTOKA KWA MFANYABIASHARA ROSTAM AZIZI

Mfanyabiashara Maarufu Nchini Rostam Aziz chini ya Kampuni ya Taifa Gas, leo amemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda Shehena ya Vifaa vya Kisasa vya Kuwakinga Wananchi dhidi ya virusi vya Corona vyenye Thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 600.

Vifaa alivyopatiwa RC Makonda ni Mashine za kisasa 25 zenye uwezo wa kumtakasa mtu na kuua vijidudu mwili mzima, Barakoa 70,000, Dumu 600 za ujazo wa Lita 5 zenye Dawa ya kunawa mikono pamoja na Sanitizer 600.

RC Makonda amesema Mashine hizo 25 zitapelekwa kwenye maeneo yenye msongamano wa watu kama Vituo vya Daladala na Masokoni na Dawa za kunawia mikono zitagawanywa kwa Watu wa Daladala kwaajili ya kuhakikisha kila abiria ananawa mikono.

Aidha RC Makonda amemshukuru Mfanyabiashara Rostam Aziz kwa upendo na moyo wa kuwajali wananchi wa Dar es salaam ambapo amesema atahakikisha kila kifaa kinamfikia mlengwa.

Pamoja na hayo RC Makonda amewataka wananchi kuendelea kuchukuwa tahadhari dhidi ugonjwa wa Corona kwa kuhakikisha wanazingatia maelekezo yaliyotolewa na Wizara ya Afya.

Kwa Upande wake Mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ataendelea kushirikiana na Serikali ya Mkoa huo katika mambo mbalimbali ya kijamii ambapo msaada aliotoa keo ni mwanzo tu wa ushirikiano.

View attachment 1420854

======

Dar es Salaam. Tanzania businessman Rostam Aziz has today handed over shilling one billion worth of Personal Protective Equipment (PPEs) to support the country’s war on Covid-19.

The equipment include 6,000 sanitizers and dispensers for the Dar es Salaam commuter transport, 70,000 masks for health workers and 25 body sanitizer machines that will be installed in congested areas of the city including market places.

The donation was a fulfillment of Mr Aziz’s promises he made before the Prime Minister Kassim Majaliwa on April 8, 2020.
Handing over the equipment to the Dar es Salaam Regional Commissioner (RC) Paul Makonda on Thursday April 16, 2020, Mr Aziz asked other businesspeople to support the government on the war against the disease.

“This is what is being done by other businessmen all over the world. We can’t leave our government’s to fight the war alone,” he said.

He said masks can be made domestically for all Tanzanians to use the material and therefore prevent spread of the disease.

Speaking during the event, Mr Makonda said five emergency teams have been formed in the city after declaration of 25 health centers responsible for collection of Covid-19 samples.

“The President has provided the teams with 25 brand new vehicles including ambulances. Instead of extending transmission chains in daladala or taxi, we will follow people with Covid-19 symptoms where they are after calling us,” he said.

He said 500 volunteers have been trained and deployed in all 102 wards in order to provide assistance to citizens at respective areas.

According to him, streets chairmen, being the heads of defense and security committees in the streets should restrict unnecessary gatherings and ensure children remain indoors after schools and varsity closures extensions.

“Unnecessary upcountry travels and those planning to visit Dar es Salaam should consider suspending their trips to pave the way for intensified war on the killer virus,” he said.

For his part, the Medical Association of Tanzania (MAT) President, Dr Elisha Osati said health workers at the frontline were facing high risks on the disease, calling on for more support from stakeholders.

“The public should continue taking preventive measures including handwashing, sanitization, social distancing and wear masks when visiting populated areas including hospitals,” he said.
Wapi kwingine Duniani wanafanya hivyo ili kudhibiti Corona ?
 
Hii nchi imepitia maajabu mengi sana !
 
Back
Top Bottom