Rostam Aziz mmiliki mpya wa tiGO Tanzania na Zantel

Zantel ndio Tigo; Kitambo kampuni mama ilishainunua..., Company mergers has been happening since begging of Time; Hata ulikuwa ukiweka line ya Zantel Bara inasoma mnara kwa Tigo
Kwa hiyo anaweza hata kubadili jina la kampuni??
 
Tigo aka MIC group, Taifa gas, Primefuel, Caspian ltd, Hisa Mwadui diamond mine, Tancoal mine..... Mzee wa Caspian sea anachanja mbuga tu.....

Wanyonge tukomae tutoboe tuache kulialia....
Umesahau Taifa gas Na Nation Media Group, chanja mbuga baba mpaka uwainspire wanaokereka.
 
Kwa hiyo anaweza hata kubadili jina la kampuni??
Inategemea makubaliano ingawa na amenunua nini...., sababu hapo lazima ufahamu more than infrastructure valuable asset ni brand (Tigo / Zantel) Sasa ukibadilisha hio na kuiita sijui jina gani huenda ukapoteza unless otherwise hio brand ingekuwa haifanyi vizuri hivyo ungebadilisha..., Ila in Tanzania Tigo ni big Brand it will not make sense kubadilisha

Na according to hii extract wameuza entire operations za Tanzania, kwahio nadhani wataendelea ku-trade under the same brand

Dar es Salaam 19th April 2021Millicom International Cellular S.A. (“Millicom”) the parent company of MIC Tanzania PLC (Tigo) and Zanzibar Telecom PLC (Zantel) announces that Millicom has signed an agreement for the sale of its entire operations in Tanzania (Tigo and Zantel) to a consortium led by Axian Group, a company based in Antananarivo, Madagascar.
 
Kuna siku uliandika kitu kizuri Sana kuhusu hawa watu kutoka Asia kwamba wanachofanya wanakusanya mitaji huko wanakuja kuwekeza kama wazawa wakati kiuhalisia wanatumia mitaji ambayo inatoka nje hivyo kutokuwa na mizania katika ushindani....
Leo naona umeandika hivi kwamba watanzania hatuna jicho la kuona fursa...
Kweli mwenzako akusanyiwe pesa za mafuta huko aje Nazo halafu wewe utegemee pesa ya kilimo cha jembe la mkono mnashindana vipi hapo.
wanaoleta mitaji kutoka nje ndio wanaokuza uchumi.
 
kwenye umiliki wa tigo ina maana manji alikwisha zulumika? nakumbuka kuna muda tuliambiwa kuwa manji kainunua tigo
 
Inategemea makubaliano ingawa na amenunua nini...., sababu hapo lazima ufahamu more than infrastructure valuable asset ni brand (Tigo / Zantel) Sasa ukibadilisha hio na kuiita sijui jina gani huenda ukapoteza unless otherwise hio brand ingekuwa haifanyi vizuri hivyo ungebadilisha..., Ila in Tanzania Tigo ni big Brand it will not make sense kubadilisha

Na according to hii extract wameuza entire operations za Tanzania, kwahio nadhani wataendelea ku-trade under the same brand

Dar es Salaam 19th April 2021Millicom International Cellular S.A. (“Millicom”) the parent company of MIC Tanzania PLC (Tigo) and Zanzibar Telecom PLC (Zantel) announces that Millicom has signed an agreement for the sale of its entire operations in Tanzania (Tigo and Zantel) to a consortium led by Axian Group, a company based in Antananarivo, Madagascar.
Mkuu Lakini Tulishuhudia Airtel ikitoka from majina tofauti huko nyuma!!
 
Mkuu Lakini Tulishuhudia Airtel ikitoka from majina tofauti huko nyuma!!
Walifanya hivyo wakiwa na maana yao and if it makes business sense watafanya (huenda kipindi hicho walitaka kukwepa kodi) na hapa kama ita-make business sense huenda wakafanya, ila kwa haraka haraka unless kuna kitu behind the scenes Tigo ni brand kubwa na kama mtu hana ulterior motives it makes sense kuendelea nayo (ina following ya kutosha) na Zantel kwa Zanzibar ndio mpango mzima...
 
Back
Top Bottom