Rostam Aziz atajwa kupanga njama za Mauaji ya Nape!!!

Status
Not open for further replies.
Harakati za kuzuia Ukimwi zimekwama viongozi wetu wanakimbizwa India na mawaziri wanajilimbizia mali , hawana mipango ya kuendeleza nchi kwani wanajua ni wagonjwa Tusipochukua hatua tutakwisha. Waziri Malima ameibiwa na kahaba anagalieni huu Msiba wa Kukwete hapa!!!!!!!!!!!!!1

314451_10150330985352740_729142739_8247587_1719950859_n.jpg









Jakaya Kikwete Kairisha safari zote baada ya kupata taarifa za Msiba wa Kanumba!!!​
Hi ndiyo Kazi ya CCM muda wote VITI MAALUM, Wakuu Wa Wilaya n.k. Mweyekiti wao ana sura halisi Ya wale anao waongoza
 
Jamani ndio huyu dada ambaye hata kutangaza alikua hajui kazi kujirembua na kukaa uchi? jamani huyu mu iran ndio haya mngemuachia nchi angetumaliza nayo, ana test ya cheap products, ona kamuweka Bashe pale bila qualification New Habari imegalagala kama jalala, kaweweka wakina muhingo sikjui wapi taka taka kuliko nini, haya ikulu kamuweka salva takataka nyingine, kweli huyu uchochoro ndio anaenda kumchanganya na mkewe mzuri mariamu? pwa, nape hata akila kijana sasa,?halafu kaonyesha uanaume kwa kumpigania na kumhamisha nchi, wasichana wajue hawa mafisadi wakikufuata kama sio kukulambisha mbwa wao basi ni kutumia mbona nasikia pia hii ilikua chakua ya EL? sasa bulushi katoka wapi?
 
Habari ya udaku. Though Simpendi Nepi lakini siwezi kumtakia kifo.
 
Mbona hapa naona kama ni wivu tu na siyo siasa kama tunavyotaka kuonyesha? Huyu changu si atawasababishia hata maafa ukiachia mbali miwaya? Sasa ona wanaanza kutafutana kwa sumu. Kweli ufisadi ni laana. Heri wamalizane kuliko kutumaliza sisi kwa kutuibia na kutufanya maskini. Dada rudi zako upige mzigo kwa kuchagua mmoja badala ya kubeba wote kama daladala. Tamaa nyingine nazo!
 
Hizo ngono na njaa zitatupeleka kubaya. Yaani kila kitu tunafanya in the name of revenge...we forget that " Revenge is the dish that tests good when cold". Otherwise ni balaa tu kwa yeyote anayejiingiza kwenye revenge.
 
aisee, siasa ni mchezo mchafu kweli, lakn si ndani ya chama kimoja kwa nanavyofamu...shida ya hiki chama ndani yake kuna classes, na hapo ndipo kinapozidi kupoteza muelekeo, maana mwisho wa siku tabaka la mafisadi litawapoteza wapiga kelele wote ndani ya chama kwa sumu, na watabaki pekee, nadhani hapo ndipo chama hiki kitazikwa na kufanyiwa arobaini...R.I.P ccm
 
kumupatia
kumushawishi
amuwekee
alimukabidhi
mukono
alimunyang''anya
kumutafutia


ha ha ha ha ha,Afadhali umeliona hilo,mm kanichefua kabisa,yaani nilifikiri mtu anaweza kufanya hivyo kwenye Matamshi tu kumbe hadi wakati wa kuandika? Anajiendekeza tu!!
 
Mtangazaji wa zamani wa Channel Teni Bi Salama Hamadi amesema amekuwa anafanya ngono na Rostam Aziz Kwa zaidi ya Miezi kumi baada ya kumupatia ajira katika kampuni yake ya Channel Teni.

Amesema kaitika mahusiano hayo Rostam alipata kumushawishi ajipenyeze Kwa nape nauye ili amuwekee Sumu na kumuua!!!

Siku ya tukio Bi Salama alipewa sumu ya unga na Rostam na kwenda kufanya njama za kumwita Nape na kisha kujikuta anamuonea huruma kwa kuwa alikuwa anafanya naye ngono pia!!!
Hatahivyo Salama anasema alimukabidhi Nape sumu hiyo na kuendelea kufanya naye Mapenzi kabla ya kutoroshwa kwenda Uk ambapo amejificha kukwepa mukono wa mafisadi.

Bi Salama anasema baada ya kushindwa kumuua Nape Rostam alimunyang"anya passport ya kusafiria na simu ambapo Nape alifanya njama na kumutafutia nyingine!!!
Makada wa CCM Lumumba walimuonya Nape juu ya mahusiano na Salama lakini hakusikia!!!

Hata hivyo Rostam Aziz amejikita Uk ambako Bi Salama anasema amekimbilia na inashangaza ni kwa Vipi Bi Salama anasema amejificha huko!!!
Source: Gzt la Dira & Makao CCM

Dah!!

Watu wanakulana jamani!

Hii ni zaidi ya kali, RA aliamua kumla dada huyu baada ya kujua anatembea na nape!? au?
Na nape aliendelea tu kumla hayta baada ya kujua alikuwa analiwa na RA!?

H ii kama ni kweli CCM ni 0
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom