Rostam Aziz atajwa kupanga njama za Mauaji ya Nape!!!

Status
Not open for further replies.
RA hawezi fanya dili la kijinga kiasi hicho,naona Nape anatafuta umaarufu wa kijinga kama walivyo wasanii wetu wa bongo!
Sio Nape amesema ni huyo kahaba!!!
Mimi nadhani Wabunge wengi na viongozi wengi wanaweza kuuawa kirahisi kwa kuwa ni Fusika na we ngine makahaba!!!!! Wanapenda ngono hovyo !!!! Ukimutembelea Mbunge alikofikia hoteli utamukuta kahaba huko na anamtambulisha kwako na kukuhudumia soda !!! haya ni matusi makubwa wanasiasa na watala badili tabia Mungu ataleta Sodoma hapa!!1
 
Huyu mwanamke nae asijishaue kama alitaka atangaze kama alikua na RA haya mwambie tushasikia lakini atuambie kavuna nini mpaka sasa? au anatumia mwili wake kwa ajili ya ajira inamaana shule yake ndogo? atupishe sie na hashuo lake.
 
Mtangazaji wa zamani wa Channel Teni Bi Salama Hamadi amesema amekuwa anafanya ngono na Rostam Aziz Kwa zaidi ya Miezi kumi baada ya kumupatia ajira katika kampuni yake ya Channel Teni.

Amesema kaitika mahusiano hayo Rostam alipata kumushawishi ajipenyeze Kwa nape nauye ili amuwekee Sumu na kumuua!!!

Siku ya tukio Bi Salama alipewa sumu ya unga na Rostam na kwenda kufanya njama za kumwita Nape na kisha kujikuta anamuonea huruma kwa kuwa alikuwa anafanya naye ngono pia!!!
Hatahivyo Salama anasema alimukabidhi Nape sumu hiyo na kuendelea kufanya naye Mapenzi kabla ya kutoroshwa kwenda Uk ambapo amejificha kukwepa mukono wa mafisadi.

Bi Salama anasema baada ya kushindwa kumuua Nape Rostam alimunyang"anya passport ya kusafiria na simu ambapo Nape alifanya njama na kumutafutia nyingine!!!
Makada wa CCM Lumumba walimuonya Nape juu ya mahusiano na Salama lakini hakusikia!!!

Hata hivyo Rostam Aziz amejikita Uk ambako Bi Salama anasema amekimbilia na inashangaza ni kwa Vipi Bi Salama anasema amejificha huko!!!
Source: Gzt la Dira & Makao CCM

Hebu jaribuni kutembelea hii link:
MICHUZI: nape ala nondozzz ya pili ya uongozi Mzumbe leo
 
Hii story inawezekana kuwa na ukweli. nape anawapenda sana hawa wadada weupe. Kuna wakati alikuwa anataka kumtafuna Badra Masoud wa tanesco enzi zile akiwa City water or dawasa (kama sijakosea kampuni) ila wakati huo Edward Lowasa nae alikuwa anakula huyo mrembo. Ugomvi wa nape na RA na EL sio wa ufisadi tu, hata mahaba yanahusika
 
Magamba kwa kuchangia mademu... Hata Lulu alikuwa analiwa na capteni John Kombo na Rizuwani...
 
s.JPG s2.JPG
huyu hapa
 
Sasa ccm wamefika hatua ya mwisho ambayo ni ya kuuwana wenyewe ambayo naamini ndo mwisho wake
 
MMiliki wa channel ten sio mzee Tramontanooo? kama sijakosea kuandika
 
kumupatia
kumushawishi
amuwekee
alimukabidhi
mukono
alimunyang''anya
kumutafutia


..................
 
binti anajitafutia ujiko
sijaona mantiki ya yeye kuitoa hii habari labda aliahidiwa hela hajapewa
 
CCM ufisadi,rushwa,wizi,uzinzi ndipo mahali pake!!!!duuh Nape unamuiga mzee Nnauye?maana nae kwa totoz alikua balaa mpaka kafariki hata kibanda hana!!!
 
Uongo mwingine hauna kichwa wala miguu! kwi kwi kwi teh teh teh!

Tatizo la kutazama michezo ya Nollywood.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom