Rostam Aziz akubali yaishe, atoa hundi za malipo ya waliokuwa wafanyakazi wa New Habari (2006)

Fred Katulanda

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
374
509
IMG_20220205_152608_717.jpg

Mwenyekiti wa Kamati ya waliokuwa wafanyakazi wa New Habari(2006) Ltd, Bw. Michael Budigila, akionyesha hundi zenye thamani ya sh bilioni 2.9 zilizotokewa na Rostam Aziz ambaye ni mmiliki wa Kampuni hiyo ili kulipa mafao yaliyokuwa yakidaiwa na waliokuwa wanyakazi wa kampuni hiyo.

Pia, soma: Waliokuwa wafanyakazi New Habari waitaka Serikali imshinikize Rostam Aziz awalipe madai yao. Kuandamana nyumbani kwa Rostam na Bashe
 
Hawa wenye kampuni binafsi wanapenda kufanyiwa kazi na kupata faida ila kulipa mafao inakuwa shughuli pevu, iwepo sheria kali ya kazi kwa waajiri binafsi pindi kampuni zao zinapofilisika au kufa na kushindwa kulipa mishahara na mafao ya wafanyakazi wao ziburuzwe mahakamani ili kuheshimu haki za wafanyakazi
 
View attachment 2109044

Mwenyekiti wa Kamati ya waliokuwa wafanyakazi wa New Habari(2006) Ltd, Bw. Michael Budigila, akionyesha hundi zenye thamani ya sh bilioni 2.9 zilizotokewa na Rostam Aziz ambaye ni mmiliki wa Kampuni hiyo ili kulipa mafao yaliyokuwa yakidaiwa na waliokuwa wanyakazi wa kampuni hiyo.

Pia, soma: Waliokuwa wafanyakazi New Habari waitaka Serikali imshinikize Rostam Aziz awalipe madai yao. Kuandamana nyumbani kwa Rostam na Bashe
Waende Banki kwanza wakahakikishe kwanza akaunti INA Hela! Wasifurahi tu kuandikiwa Hindi! Ni karatasi tu hiyo! Wahindi tunawajua...
 
Back
Top Bottom