Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
Hii imekaje mods? naona Shy kaanzisha thread, halafu anachukua maoni ya watu wengine anayapost kwa jila lake kwa majina halisi ya watu hao. Je, kuna concert ya hao watu maoni yao kuwa posted hapa kwa majina yao halisi?
For a better reference kuna binti mmoja alijirejiser JF na siku hiyo akatuma post moja tuu yenye tuhuma kali dhidi ya Shy. Baadhi ya mambo aliyotuhumiwa nayo ni uwezo Shy anauonyesha kwenye thread hii naamini zile tuhuma zina kwa ukweli ndani yake.
Yule binti baada ya post ile sijamsikia tena. Kwa vile membership ya JF ni free. Na ukishapata membership you enjoys the privilages za kupost ndio maana utashuhudia guest huwa ni wengi kuliko members.
Anachofanya Shy ni abuse of the privilage to gain undue influence.
Mwana JF mwenzetu Shy, help your friends to register to increase the JF family.