kwa watu wa igunga rostam ni kama yule jambazi wa jamaica dudus!
Kwa watu wa Igunga Rostam ni kama yule jambazi wa Jamaica DUDUS!
Kwa watu wa Igunga Rostam ni kama yule jambazi wa Jamaica DUDUS!
we jamaa umenichekesha sijui hata umefikiria nn hahahaKwa watu wa Igunga Rostam ni kama yule jambazi wa Jamaica DUDUS!
ccm - 35974
cuf - 11321
huyu ni mnyamwezi wa Tabora kweli? au yupo huko kikazi?
Sio mbaya akikaa Bungeni akisikiliza mswada wa kuilazimisha Serikali kuwachukulia hatua mafisadi wenzake.
Itapendeza sana endapo atasikia kwa masikio yake mwenyewe.
Kwa watu wa Igunga Rostam ni kama yule jambazi wa Jamaica DUDUS!