Elections 2010 Rostam Ashinda kwa Kishindo tena

Kishindo huanzia asilimia ngapi?Duh CCM mnapenda sana ushindi wa kishindo!!!
 
Kwa watu wa Igunga Rostam ni kama yule jambazi wa Jamaica DUDUS!
 
Katika miaka mitano iliyopita ya ubunge wake hajachangia kwa maneno na maandishi hata mara moja-then wanamrudisha huyu, aisee mi sisiem lakini huyu ndo alofanya niwaambie jamaa zangu wasikipe hata kura moja; so far wamefanya hivyo kwani nawaaminia
 
Jamaa ana tembezaga pesa za kutosha kuanzia kura za maoni hadi uchaguzi mkuu.
Ila siku akajaribu kugombea Mbeya akipate cha moto.
 
Sio mbaya akikaa Bungeni akisikiliza mswada wa kuilazimisha Serikali kuwachukulia hatua mafisadi wenzake.
Itapendeza sana endapo atasikia kwa masikio yake mwenyewe.
 
ccm - 35974

cuf - 11321

Hivi Chadema hamkusimamisha mgombea Igunga? Da kama hamkusimamisha mlikosea sana. Kupambana ni kupambana tu, angalao tungepata hapo chache za urais na madiwani kama tungekosa mbunge.
 
Maeneo mengi ambayo wameikumbatia ccm ndo masikini wa kutupa (situkani lakini ndo ukweli kwa kuwa mie pie natoka huko),igunga,singida, dom n.k,mtu akilishwa mkate na soda tu humuambii kitu kuhusu ccm,mtuvuna mlichopanda
 
huyu ni mnyamwezi wa Tabora kweli? au yupo huko kikazi?

Huyu ni mu-IRAQ ni ndg yake Tariq Azizi.

Lakini Igunga mmelogwa? kweli na akili zenu zote mmemchagua huyu jamaa kuwa mbunge Kashfa zote hizo alizonazo? Umasikini utatuua jamani.
 
Sio mbaya akikaa Bungeni akisikiliza mswada wa kuilazimisha Serikali kuwachukulia hatua mafisadi wenzake.
Itapendeza sana endapo atasikia kwa masikio yake mwenyewe.

Yeah ni kweli!..."...waniandalia meza mbele ya watesi wangu....psalms 23", ina raha yake unapofurahi mbele ya mbaya wako au mbaya wako anapoadhibiwa mbele yako. Pipooooooozzzz....
 
Kwa watu wa Igunga Rostam ni kama yule jambazi wa Jamaica DUDUS!

Christopher "Dudus" Coke = Rostam Aziz (Y/N?) Y :

Na kuna siku tutamfanya hivi:
c6fca4519ffdf6f7d3e6b843f22faf8a.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom