Elections 2010 Rostam apeta

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,711
2,226
Igunga
35674 ROSTAM
Maona CUF 11321
CCM 24 KATA NA 2 CHADEMA
 
Of all the people RA kapeta na mwenzie EL ama kweli akili nywele kila mtu ana zake.
Ni kweli makawao wanapendwa?
 
upendo huo wa RA na EL kwao ni upendo wa aina ya nipe nikupe, wale jamaa wakijengewa malambo na majosho mawili ya kunywesha na kuogeshea mifugo wanapiga kura kwa spidi ya kutoka Tengeru kuitafuta Kikatiti Arusha.Msisahau matokeo ya njaa, ujinga na hofu!
 
Hao jamaa RA na EL wanajua namna ya kuwatuliza wananchi wao ndo kinachowakoa majimboni kwao.
 
Sio ubishi, ni uoni finyu na utumwa wa kiakili

Mkuu wananchi wa Igunga ni masikini wa kutupwa!!! Hakuna barabara zaidi ya ile kubwa inyopita barabra kuu!!! Shule duni, huduma za jamii duni eti wanachanganywa na misaada ya mtu kwa mtu toka kwa hilo fisadi...

Kazi bado ndefu...
 
Huyu bubu karudishwa bungeni? Maskini watanzania! Kipindi cha miaka mitano - michango bungeni - 0, maswali ya msingi - 0, maswali ya nyongeza - 0
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom