Rostam Aondoka Nchini

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,551
1,777
Habari zenu wana Jf?
Kuna tetesi nimeipata kutoka kwenye chanzo cha kuaminika kwamba yule Mfanyabiashara na Mwanasiasa mtata R.A ameondoka rasmi nchini jana..hii ni baada ya kuindosha familia yake kimya kimya na sasa amemalizia mwenyewe, kwa mujibu wa chanzo changu ni kwamba bwana R.A ameondoka nchini mazima ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kukimbia kivuli chake hasa baada ya kashfa za ufisadi kuzidi kuwaweka pabaya wafanyabiashara,viongozi na wanasiasa kwa ujumla.
Mwenye la kulijua zaidi na atiririke hapo chini.
 
Ndo Tanzania mwizi akiiba ukawaita polisi wakaja , mwizi akafumba macho ,polisi nao wanasema hawajamwona
 
Kama chanzo nicha kuaminika kwa nini tena inakuwa ni tetesi. Au neno kuaminika lina maana nyingine kwa sababu hata mahali alikokwenda hukuambiwa na bado unataka wengine wakujuze zaidi.

Kila mtu na maisha yake na Rostam anaruhusiwa kuishi sehemu yoyote ile duniani pale anapotimiza masharti ya uhamiaji kama Watanzania wengine waishio nje ya nchi.

Wewe ndiyo tiririka kwa sababu una chanzo cha kuaminika.
 
Habari zenu wana Jf?
Kuna tetesi nimeipata kutoka kwenye chanzo cha kuaminika kwamba yule Mfanyabiashara na Mwanasiasa mtata R.A ameondoka rasmi nchini jana..hii ni baada ya kuindosha familia yake kimya kimya na sasa amemalizia mwenyewe, kwa mujibu wa chanzo changu ni kwamba bwana R.A ameondoka nchini mazima ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kukimbia kivuli chake hasa baada ya kashfa za ufisadi kuzidi kuwaweka pabaya wafanyabiashara,viongozi na wanasiasa kwa ujumla.
Mwenye la kulijua zaidi na atiririke hapo chini.

Kwa hiyo? Hiyo habari peleka michuzi blog ndiyo kuna habari za kimbembea.
 
Ameondoka kurudi kwao Iran au kaenda kuanzisha Kagoda nyingine Kenya?
Maana Kenya uchaguzi umekaribia!
 
Hii habari nimeisikia asbh RFA kwenye uchambuzi wa magazeti ila silikumbuki ,mgelifatuta ili tujue alipokimbilia 2015 baafa ya mageuzi asakwe
 
Mods ondoa ukuda huu ambao ni wazi mleta uzi anafahamu ni uongo. Kwanza anajichanganya kwenye title anasema ni tetesi then .....habari kutoka chanzo cha kuaminika...... Shiiiiit!
 
mwache aondoke,keshaona safu mpya ya ccm hamna kitu 2015,unataka abaki chadema waje kumuingiza majiti?
 
wajinga ndio wali wao, sisi ni wa kuliwa tu asiyekubali hilo labda ahame nchi naye
 
Kiulize zaidi chanzo chako ili kiteme data maana umekisifia ni chanzo cha kuaminika.

Swali zuri sana Mzee wa Rula!,lazima asepe,hii ndio hatari ya kukimbilia kuanzisha mada wakati huna data za kutosha halafu utegemee wanaume waje humu ndni wakushibishie.
 
Akimbie nini?,huyu Mwamba siku zote yuko,juzi alionekana na matycoon wa Formula one mombasa kwenye kiota kimoja kinaitwa Lion in the Sun anakula Bata,Akiwa na shida bongo anawasha jet yake anatua bongo ,jioni huyo Nbi,Huyu mtu ni Brainbox,Pia ni............................!!!!!!!!!!!!.
 
Habari zenu wana Jf?
Kuna tetesi nimeipata kutoka kwenye chanzo cha kuaminika kwamba yule Mfanyabiashara na Mwanasiasa mtata R.A ameondoka rasmi nchini jana..hii ni baada ya kuindosha familia yake kimya kimya na sasa amemalizia mwenyewe, kwa mujibu wa chanzo changu ni kwamba bwana R.A ameondoka nchini mazima ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kukimbia kivuli chake hasa baada ya kashfa za ufisadi kuzidi kuwaweka pabaya wafanyabiashara,viongozi na wanasiasa kwa ujumla.
Mwenye la kulijua zaidi na atiririke hapo chini.

Sijakuelewa mkuu hasa hapo kwenye RED na BLUE, yaani umepata taarifa kwenye "chanzo cha kuaminika" lakini unataka mwenye kujua zaidi "atiririke".

Sasa kama wewe hulijui zaidi utasemaje chanzo chako ni cha kuaminika? au una post chochote unachokisia ili kuongeza posts?
 
Back
Top Bottom