Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Habari zenu wana Jf?
Kuna tetesi nimeipata kutoka kwenye chanzo cha kuaminika kwamba yule Mfanyabiashara na Mwanasiasa mtata R.A ameondoka rasmi nchini jana..hii ni baada ya kuindosha familia yake kimya kimya na sasa amemalizia mwenyewe, kwa mujibu wa chanzo changu ni kwamba bwana R.A ameondoka nchini mazima ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kukimbia kivuli chake hasa baada ya kashfa za ufisadi kuzidi kuwaweka pabaya wafanyabiashara,viongozi na wanasiasa kwa ujumla.
Mwenye la kulijua zaidi na atiririke hapo chini.