Rostam anafaa kuwa Rais 2015

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
Hiyo picha hapo Rostam akimuonyesha waziri mkuu maendeleo katika jimbo lake, Napenda kuwaambia watz wenzangu tuweke pembeni chuki za ubaguzi na Wivu, Hayo mambo ndio yanayoturudisha nyuma kimaendeleo, Kwa kweli huyu Rostam anafaa sana kuwa Rais wetu na anaweza kuiendeleza hii nchi kwa ufanisi mkubwa na kutuletea lukuki za maendeleo, miongoni mwa mambo ambayo yananipelekea kusema kwa kinywa kipana kuwa Rostam anatufaa sana, ni:-

1-Imebainika kuwa shutuma zote zilizoelekezwa kwake ikiwemo ya Richmond ni Majungu na uwongo wa kipumbavu!
2-Ni msomi aliyebobea
3-Ana msimamo, na ana vision kubwa kwa taifa letu
4-Ana uchungu sana na hii nchi, na amezaliwa Igunga
5-He looked very smart(see the photo) and is a man of principle
6-Umewahi kumsikia akiongea?...mpangilio mzuri wa hutuba na points zenye maana nzito
7-Amewasaidia watu wengi sana mpaka makanisani
8-n.k...n.k....n.k....n.k......n.k...............

02107t5hk1f.jpg
 
Hayo ni maoni yako mkuu. Mi kwa mtazamo wangu hanifai kabisa maana ana uchu wa mali....akiona vijisenti tu tamaa yamshika.
Kila mtu ana destination yake...huyu bwana aendelee kuwa mfanyabiashara na sio mwana siasa.
 
Haya yote ni maoni yako na sio wote kama wewe ulivyo fanya basi kwanini asiwe Lowassa na na sio RA
 
Rostam kuwa Rais? itakuwa umetumwa si bure, sana sana apewa PhD ya ufisadi.

Umewahi kufika Igunga ukaona palivyo wewe?
 
Ndugu,

Mimi ni Mtanzania halisi wa damu na sio mtanzania wa ardhi,hakuna cha ubaguzi mtu mweupe hawezi kuwa na uchungu na nchi yetu,na huyu Rostam sio mtanzania wa damu ni mtanzania wa ardhi(Tanzanian by soil) kwa hiyo hawezi kuwa na uchungu na nchi yetu,huyu ni mbaka uchumi,anatumia siasa kuficha uovu wake.Mimi sio mwanachama wa chama chochote lakini mambo yanayoendelea hapa nchini sio ya kushabikia ni kutokukomaa kisiasa kwa viongozi wa ngazi za juu,ukiwauliza wanasema demokrasia imekua ndio maana kila mtu anaongea ongea lakini vipi maslahi ya taifa,na nchi haiwezi kuongozwa na mhindi au muarabu na huu sio ubaguzi hatuwezi kurudi kwenye ukoloni

Ndugu usifanye kampeni hapa.

Elisante Yona
 
Hakuna haja ya kusema huyu bulushi awe Rais ataleta maendeleo kwa nchi yetu; toka mwaka 2000 yeye ndio amekuwa mtawala wetu [ Kawapa kazi wakina Ngeleja, Masha, Salva etc] na sisi tumesinzia tu, na alichofanya ni kutuibia fedha benki kuu kupitia Kagoda na mikataba feki ya umeme ya Richmondul!!Zaidi ya balaa aliotufanyia bado was........ wake wanampigia debe?
 
"1-Imebainika kuwa shutuma zote zilizoelekezwa kwake ikiwemo ya Richmond ni Majungu na uwongo wa kipumbavu!
2-Ni msomi aliyebobea
3-Ana msimamo, na ana vision kubwa kwa taifa letu
4-Ana uchungu sana na hii nchi, na amezaliwa Igunga
5-He looked very smart(see the photo) and is a man of principle
6-Umewahi kumsikia akiongea?...mpangilio mzuri wa hutuba na points zenye maana nzito
7-Amewasaidia watu wengi sana mpaka makanisani"

Ndugu Bwabwa unaweza kututhibitishia kipengele cha kwanza? na pia tupe cv yake kwa ufupi kama ulivyoainisha kwenye kipengele cha pili.

Vipengele vingine havina haja kwakuwa ukisema "he looks very smart " sidhani kama uko serious na nchi yako
.
 
Hiyo picha hapo Rostam akimuonyesha waziri mkuu maendeleo katika jimbo lake, Napenda kuwaambia watz wenzangu tuweke pembeni chuki za ubaguzi na Wivu, Hayo mambo ndio yanayoturudisha nyuma kimaendeleo, Kwa kweli huyu Rostam anafaa sana kuwa Rais wetu na anaweza kuiendeleza hii nchi kwa ufanisi mkubwa na kutuletea lukuki za maendeleo, miongoni mwa mambo ambayo yananipelekea kusema kwa kinywa kipana kuwa Rostam anatufaa sana, ni:-
1-Imebainika kuwa shutuma zote zilizoelekezwa kwake ikiwemo ya Richmond ni Majungu na uwongo wa kipumbavu!
2-Ni msomi aliyebobea
3-Ana msimamo, na ana vision kubwa kwa taifa letu
4-Ana uchungu sana na hii nchi, na amezaliwa Igunga
5-He looked very smart(see the photo) and is a man of principle
6-Umewahi kumsikia akiongea?...mpangilio mzuri wa hutuba na points zenye maana nzito
7-Amewasaidia watu wengi sana mpaka makanisani
8-n.k...n.k....n.k....n.k......n.k...............

Hiyo namba tano bila shaka inakugusa sana.Tangu lini mwanaume akmsifu mwanaume mwenzie?
 
wewe kweli bwabwa....Yani kitendo cha yeye kuwa Mhindi tayari keshapoteza sifa ya kuwa rahisi wa TZ. Chukulia wewe bwabwa a.k.a "choko mtemi" na weusi wako huo ungekuwa umezaliwa india hata kama ungekuwa mtume wasingekupa Urais .
Awe MUHINDI sijui Muogo, MWARABU, MZUNGU kutawala TZ sahau hata kama kazaliwa TZ. Utakuwa ni ubwabwa kumpa urais hii mihindi hindi...nchi lazima itawaliwe na vitu Tintedi kama mizengwe pure black....
 
..sasa huo ndio ubaguzi wetu nilio ongelea, tuachane na huo ujinga, Angalia America wamempa urais Mjaluo, kwa sababu wanataka maendeleo, sio sisi tumekalia kuwa majelous
 
bwabwa please
hivi kweli uko serious au ulikuwa unataka kuanzisha nyuzi tu?
hivi huo mchezo unaofanya unakutoa akili kabisa hata ya kupambanua, mambo madogo tu,?
 
Hayo ni maoni yako mkuu. Mi kwa mtazamo wangu hanifai kabisa maana ana uchu wa mali....akiona vijisenti tu tamaa yamshika.
Kila mtu ana destination yake...huyu bwana aendelee kuwa mfanyabiashara na sio mwana siasa.

Kama hiyo ndiyo sababu ya wewe kutomtaka RA basi unatakiwa kutowataka viongozi wote duniani wenye asili ya bin-adamu. Who is indifferent on money?
Give me an example of anyone you know in this world including yourself
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom