Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,559
- 1,452
Jamani hizi ni Tetesi na ninaendelea kuzifanyia Kazi
Habari ambao bado haijathibitishwa zinasema kwamba Hatimaye Lile Gamba kuu lililogeuka Karata ya Ushindi ya CCM Igunga, Rostam Aziz ( Ambaye kwa heshima kubwa kabisa alipewa Nafasi Katika Ufunguzi wa kampeni) amemruhusu Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye kwenda Igunga lakini kwa Masharti.
Moja kati ya Masharti aliyopewa Nape ni kutotumia Neno Gamba na vile vile Kuimba Sifa za Rostam ( Kama alivyofanya alivyoenda kuhani Msiba wa Kijana aliyegongwa na Fuso la CCM)
Ikumbukwe kwamba wale wote waliokuwa wanaendeleza Siasa Uchwara ( Gutar Politics) kwa Mujibu wa Rostam walipigwa Ban kukanyaga Igunga hasa Siku ya Uzinduzi.
Mytake:
Kama Hizi Habari ni za Kweli basi RA ana nguvu sana, yaani Mumsengenye mpaka aachie Ubunge, halafu aweke Mgombea wake na yeye ndiye apange timu ya Kampeni