Rostam ajipanga kuikimbia Tanzania; kutimkia Malaysia

Asipofunguliwa kesi ndo imetoka hiyo, na wa kumfunga paka kengele ndo hakuna, Mtikila alishanyamazishwa na yale mambo ya ushahidi wa cheki nk.

Ilitakiwa kwasasa awe na kesi ya kumkeep busy, alijiuzulu kwa mambo ya siasa?

Huyu mtu ni an internation crook!
 
... bora Malaysia ingalikua ni mbinguni au Iran kwake. Good Friends could be far ahead in the waiting as the radar is closely lowering on the remaining compatriots and accomplishes in the large East Africa.

Sweet 'holiday' to him for the next course of action.
 
Wameshindwa kuwashughurikia mpaka wanaamua kukimbia nimemisi utawala wa baba wa taifa sahizi angekuwa yuko jela
 
Likewise, Rostam Aziz too and his terrorist networks in the larger East African region must never sit pretty too though contemplating relocation of ill-gotten large chunks of finances to other 'safer' territories but with full Tanzania government knowledge and support.

Wameshindwa kuwashughurikia mpaka wanaamua kukimbia nimemisi utawala wa baba wa taifa sahizi angekuwa yuko jela

COMMENTARY | So, it's finally official: Iran is a state-sponsor of terrorism. The word came from the mouth of Supreme Leader Ali Khamenei on Friday when he categorically announced Iran would sponsor anyone -- anywhere -- that would work against Israel.

Khamenei also admitted to helping attack Israel through third parties, something Iran officially downplays or denies, the Associated Press reported. "From now on, in any place, if any nation or any group confronts the Zionist regime, we will endorse and we will help. We have no fear expressing this," Khamenei told followers during morning prayers.

Iran Finally Comes Clean with the World -- It Sponsors Terrorism - Yahoo! News
 
Hapa swala nasisitiza kwa tcra msikubali kuvunja sheria ya uwekezaji 2005,u should stand there,kama amuuzia 35% hizo awe ni local invester amesajiliwa na brela yetu,kinyume na hapo mtadhalilika ndugu zangu,mnatafutiwa kashfa,muweka njaa zenu mbali mutangulize integrity maana rostam siyo mtu mzuri anaweza fanmya lolote ali mradi afanikishe ushetani wake.reference ya haya ninayosema fuatilia matukio yake pote alipopita anacha majeraha na mwisho ni nyinyi tcra na mabenki
 
Kuna mzee mmoja ni maarufu sana siwezi kumtaja (ni mmoja wa maafisa wa Usalama wa Taifa) kwa usalama wangu maana natumia ID yangu orginal pamoja na Avatar ya picha yangu halisi..... alichoniambia kwamba Rostam Aziz ni Jasusi la CIA na yuko very protected, alikuja hapa kwa lengo maalum na kazi aliyoifanya ameshaimaliza na aliletwa na Marehemu Kambona....
siwezi endelea zaidi............

Hata ukisoma ile habari ya yule jamaa(HUTAKI ACHA) amejaribu kuliweka wazi hilo
 
Your Excellency, President Kikwete, the public is more than deeply concerned about the Rostam Aziz issue an his envisioned political hybernation with ill-gotten tax-payers' money to an un-known destination via Malaysia.
 
Rostam Aziz akitoweka nchini na tena na hayo mabilioni tunayoamini kukwapuliwa kwenye kodi zetu; mambo hayatokua murua hata kidogo kwani kuna siku someone somewhere shall be answerable to us on this most delicate issue with deeper public interest to-date.

​muda ni hakimu mzuri siku zikifika watalipa waliyoyafanya
 
Jamaa kachota sasa anataka kwenda kula,kaona hapa tunamuwekea kiwingu...nadhani hata ****** nae akimaliza muda wake wa uongozi nae atakimbilia USA.
 
Aondoke. Lakini laiti tungelikuwa na Rais "Msafi" angelimtia hatiani mtu huyu, mali zake zingelikamatwa na kunadiwa kabla ya kutokomea Malaysia. Maskini Tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!

Wameshidnwa kumtia hatiani Mzee wa vijisenti mfanyakazi wa umma nio wataweza kwa king maer anayekula madili ya Kibisahara hata kama ni KIFISADI.

Kama huwezi kukumtia hatiani kiongozi wa umma anayetumia Ofisi ya umma kufanya UFISADI basi kamwe huwezi kumtia hatiani Kiongozi wa ofisi binasfi anayefanya UFISADI kisomi.

Pesa za EPA na Kagoda hawkauvunja Kufuli pale BOT alafu DCI anakwambia mwananchi wa mwannyamala na kinondoni mwenye ushahidi aupeleke.......... Are we serius

Tunavuna tulichopanda . Tunachweza kumsifu kiwete ni udhaifu wake bila kujua may be umewezesha uncertanity za mafisadi kutojua FUTURE yao. Its unpredictable hata hii story ni kama bado SINEMA. Globalisation na information age inaonyesha hata kutoka malysia unaweza kuendesha mambo sehemu yeyote.
 
Kutokana na Sheria mpya ya BOT ambayo inamtaka kila Mteja aweze kuwasilisha details zake na mapato yake kwa mwaka kupitia Benki yake, ambayo kwayo, ni rahisi kugundua fedha chafu, jamaa ameona ndio mwanzo wa kuumbuka.

Na hii issue jamaa ameiona iko likely ku-cease some people's accounts, jamaa ameshastuliwa na vibaraka wake ili asepe mapema kuogopa kufungiwa pesa zake alizotuibia.


Rostam Aziz inajulikana alikwapua fedha za EPA mwaka wa 2005. Wakati huo akiwa Mweka Hazina wa CCM na hizi fedha zilisaidia kampeni za J.K akaingia madarakani.

Kwa vile zilikuwa ni fedha nyingi sana, Rostam alianzisha Kagoda Agriculture kama kampuni yake binafsi. Gavana wa BoT wakati huo, Daudi Ballali alishirikiana naye Rostam wakakwapua mali ya WaTanzania wanyonge na sasa wanatoweka wote.

Nashauri with all seriousness kwamba Sheria mpya ya kudhibiti fedha chafu, itumiwe kuzuia Rostam ili asiondoke na fedha zetu. Ilivyosemwa ktk thread moja hapo juu, ni utawala mbovu unaoongozwa na washiriki wa ufisadi, umeshindwa kuchukua hatua kuwapeleka kortini mafisadi waliodhihirika. Wadhandetiwa hatiani na kufilisiwa hakungekuwa na adha ya Rostam sasa kuhamishia Malaysia mali ya umma wa Tanzania

 
ha ha ha huyu jirani yangu mu ajemi ntata sasa dah???? yaani geneous hawezi kwenda kwa maza(kwa ahmadinejad) atanyongwa au kwa hu jintao, obama, au ksovo, atazunguka wee ila asia ndo ataishia kwa kina bara bara che
 
​Tumeshindwa vita ya kumzuia mtu huyu kuondoka na mali zetu na badala yake ameshaondoka na nusu ya mali zake na sasa yupo nchini uingereza.
 
Back
Top Bottom