hasason
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 1,648
- 1,538
SONY SIGNED ARTIST ROSE MUHANDO RELEASES A VEVO CERTIFIED VIDEO
Taking gospel music to new heights, after being signed by Sony and being a day away from her album launch (scheduled for 15th of Dec), Rose Muhando has a video to a jam called 'Wololo' which has already been VEVO certified.
watch it HERE
Rose Mhando 'apasua' anga
Monday, 16th Dec, 2013
Msanii wa muziki wa injili kutoka hapa Tanzania, Rose Muhando ameendelea kupiga hatua katika kupeleka muziki wake kimataifa, safari hii akiwa amejipatia channel yake rasmi ya VEVO katika mtandao wa youtube, kama ilivyo kwa mastaa wengine wa muziki wa kimataifa.
Kufuatia kupata channel hii, Rose anaweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza kabisa kutoka Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla kufikia hatua hii ambayo itasaidia kutangaza kazi zake za video katika ngazi ya kimataifa zaidi, na hivyo kuwafikia watu wengi kiurahisi.
Katika channel hii, Tayari Rose amekwishaweka video ya kazi yake ambayo inafahamika kwa jina Wololo.