Rose Muhando sasa next level Sony Music

hasason

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
1,648
1,538
SONY SIGNED ARTIST ROSE MUHANDO RELEASES A VEVO CERTIFIED VIDEO

Taking gospel music to new heights, after being signed by Sony and being a day away from her album launch (scheduled for 15th of Dec), Rose Muhando has a video to a jam called 'Wololo' which has already been VEVO certified.

watch it HERE

Rose Mhando 'apasua' anga
Monday, 16th Dec, 2013
Rose-Muhando-Sony-Music.png

Msanii wa muziki wa injili kutoka hapa Tanzania, Rose Muhando ameendelea kupiga hatua katika kupeleka muziki wake kimataifa, safari hii akiwa amejipatia channel yake rasmi ya VEVO katika mtandao wa youtube, kama ilivyo kwa mastaa wengine wa muziki wa kimataifa.

Kufuatia kupata channel hii, Rose anaweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza kabisa kutoka Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla kufikia hatua hii ambayo itasaidia kutangaza kazi zake za video katika ngazi ya kimataifa zaidi, na hivyo kuwafikia watu wengi kiurahisi.

Katika channel hii, Tayari Rose amekwishaweka video ya kazi yake ambayo inafahamika kwa jina Wololo.

Very good bidada

On your signature...

Pesa inamaliza matatizo au ni matatizo yanamaliza pesa?
It depends, whichever that outlasts the other,je matatizo huisha?certainly money does.Pia siyo matatizo pekee ndo yanamaliza pesa,bali hata raha/starehe.

Kwamfano kuchoka siyo lazima iwe kwasababu ya kazi,unaweza kuchoka kwasababu ya raha.
 
Rose Muhando alifanya kimya kimya kitambo, nashangaa Team Kibakuli mnavyotusumbua mitandaoni.
 
Rose Muhando alifanya kimya kimya kitambo, nashangaa Team Kibakuli mnavyotusumbua mitandaoni.
Sasa si afadhari watusumbue wakiwa wanakielewa wanachokishabikia ........... lakini wasivyoelewa kitu unakuta jitu limeandika "Sony vs Tomato" yaani jitu alijui hata hiyo Sony ina deal na nini ............ na yeye (kiba ) kuwa Sony inamaanisha nini mijitu haijui ila inapiga kelele tu.
 
Lowassa alisema Elimu Elimu Elimu...wanaoandika Sony vs tomato ni gadem mbululaz
 
Nchi hii watu walitakiwa waishi Kama Korea ya Kaskazini Tu. Hakuna internet kwa ajili ya kuandika upuuzi upuuzi. Watu wangekuwa na akili Sana.
 
Nchi hii watu walitakiwa waishi Kama Korea ya Kaskazini Tu. Hakuna internet kwa ajili ya kuandika upuuzi upuuzi. Watu wangekuwa na akili Sana.
Mbn pofu lmelutoka mkuu kulikon au hujakula
 
Hahahah!! Naona watu wameenda kuifukua hii thread.. Ishu ilikuwa kimya kimya na uhalisia ndio uliongelewa lakini ndugu yetu jana chumvi walizidisha
 
Back
Top Bottom