moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,077
- 2,882
Shemeji yenu huyo
Hivi mpaka leo hujawania hicho kiti cha umiss TZOk nice, wenye upotable wao, so wapi picha je?
Eti manka unafeli wapiOk nice, wenye upotable wao, so wapi picha je?
π¨πππ ππ«ππππ π₯π¦πππ πππ πππ‘π πππ₯ππ πͺπ π€π¦π£π§ππͺ π₯π¦ππ π€πππππ ππβππΌπ ππβπΈ βπππ ππΈπππππ βπΈππΈβπππππππ......... πΈβπΈβπΈπΈβπΈβπΈ ππππ€π ππ πππππππ π£ π π π€ππππππ ππ ππππ π£πππ₯ππ π π€πͺπ€πͺπ₯ππ ππππππππππ₯ .......Dah huyo manzi kama utani ani, yuko zake pale ardhi anapiga ICT na mdogo wangu afu best friends kinoma, dogo ananionyesha picha zao anasema anacontest taji la urembo nikawa nachukulia masihara, dah siamin kwa kweli! Hongera zake sana!
πΈππππππππ βπππ ππΈππ ππΈ ππΈππ½πΈ πβπΈππππΈ πΈβπ»βπ πβπππΌβππππ ππ π«π πͺπ πΉπΈββπΌππβ ππ½ πβππΌββπΌ πβ πβπ½πβππΈπππβ πππππΌπ ππΈβπΈπΎπΌππΌβπ πππππππππππππ πππππππππππππππππ πππ ππ¨πππ ππ¦πππ ππβπΈππβπ βπΈ π»βπΈβπΈπΉπ ππΈβππΉπ ππΌππππ βπΎπππΈ πΈππππΈ βπππβππΌ βπ»πππΈβπ βπΈππΌβ€πΈ ππββππππππΈ ππππ.
Why bossEti manka unafeli wapi
ππππππ π¨ππ¨π π€π ππ ππππ ππ₯π¦ π¨π π£πππππ πͺπππ ???? ππ¦ππππππ ππππ π¨ππππππππ π₯π¦π¦π¦π¦ πππ‘π πππππ πππ πππ₯ππ£π π€πππ...π»ππ πππ πππ πππ, πππππππ ππππ? π³πππ π ππ πππ πππ πππ πππ π ππ, ππππ ππππππππππ ππππ ππ ππππ!
βπππππππ ππ πππ ππππ π¦ππ π¦π¨π π€ππππππ π¨π π₯ππππ πΉπΉπΉππππππ π¨ππ¨π π€π ππ ππππ ππ₯π¦ π¨π π£πππππ πͺπππ ???? ππ¦ππππππ ππππ π¨ππππππππ π₯π¦π¦π¦π¦ πππ‘π πππππ πππ πππ₯ππ£π π€πππ...
Sijakuona ukiwania umissWhy boss
Wapi na wapi Mambo hayo mieSijakuona ukiwania umiss
Umeshaenda moshi kunywa mbegeWapi na wapi Mambo hayo mie
The irony. Hii ndiyo comment ya mwisho! Yaani kama alama ya kufunga sentensi. π€£Kimsingi miss Tanzania iliisha 2005 hao wengine wote hakuna kitu....
Mashindano ya taji la Miss Tanzania kwa mwaka 2020 yamefika tamati leo tarehe 5/12/2020 na Mshindi wake kutangazwa kutokana na maoni ya majaji na wapiga kura. Jina lake anaitwa Rose Manfere na namba yake ya ushiriki ilikuwa ni namba 14. Huyu ndiye ataiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Miss world huko Brazil. Kwenye historia ya mataji ya Miss Tanzania, Ukitoa lile la Miss Tanganyika aliloshinda mzungu mmoja wa kikoloni, huyu anakuwa ni Miss wa 24 tangu mwaka 1964. Baadhi ya picha zake.
View attachment 1642771View attachment 1642772
Orodha ya Mamiss waliomtangulia huku ikiambatana na mwaka waliochukua mataji:
Jina Mwaka Theresa Shayo 1967 Aina Maeda 1994 Emily Adolf
1995 Shose Sinare 1996 Saida Kessy 1997 Basila Mwanukuzi 1998 Hoyce Temu 1999 Jacqueline Ntuyabaliwe 2000 Happiness Magese 2001 Sylvia Bahame 2003 Faraja Kotta 2004 Nancy Sumari 2005 Wema Sepetu 2006 Richa Adhia 2007 Nasrin Karim 2009 Miriam Gerald 2009 Genevieve Emmanuel 2010 Salha Israel 2011 Brigitee Alfred 2012 Happiness Watimanywa 2013 Lilian Kamazima 2014 Diana Edward 2016 Queen Elizabeth Makune 2018 Rose Manfere 2020
Video inayoonesha Rose akitangazwa ushindi wa Taji la Miss Tanzania 2020.
Super genious, upo akilini mwangu, hawa wanagaiwa tu na infact "ni maembe yote yameoza kwenye kapu na umeambiwa lazma uende na embe moja" so unachukua lolote ilimradiKimsingi miss Tanzania iliisha 2005 hao wengine wote hakuna kitu....
Lundenga aliondoka na hili shindano, kipindi ch kina aina maenda yaani kupenya tu huko moani ilikuwa mbinde, sasa walipokuja kuleta rushwa ya ngono na kupitisha pisi zishazaa, ndipo yaliharibika maana naskia huko miss world wanapima hadi bikra, kama haipo huingii top 10Hivi hili shindano bado lipo?
Mbona halisikiki?
Sikuwaza kabisa kama kuna hilo shindano mpaka nilipoona hii thread hapa JF.
Kuna kitu hakipo sawa.
Kuna ukanda umehusika hapoKwaiyo Rose manfere kamzidi Ile pisi ya chuga mzee?