Rooney vs Messi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rooney vs Messi

Discussion in 'Sports' started by Magehema, Mar 24, 2010.

 1. M

  Magehema JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimeikuta hii BBC nikacheka sana, Waingereza wanataka kufananisha planted football na Kipaji. Kazi kweli kweli
   
 2. s

  samvande2002 JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  waingereza ni wajinga sana..wanaona rooney ni swa na messi!
  hawana akili
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kumfananisha Rooney na Messi ni sawa na kufananisha
  Frank Bruno na Mohammed Ali
  J.K. Nyerere na J.K Mrisho
  Magufuli na Ngeleja
  Mama Tibaijuka na Sophia Simba
  Zitto Kabwe na Iddi Zungu
  Slaa na Makamba
   
 4. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  naamini hili swali angeulizwa rooney mwenyewe angecheka.messi bad news katika dunia ya leo.wasifananishe taa na mwezi kisa vyote vinatoa mwanga.ha!rooney na messi?pamoja na uadui wa brazil na argentina lakini messi alivyochaguliwea footballer of the year wabrazil waliapprecite japo walijifanya messi ni mbarcelona na si muargentina ila kipaji chake wanakijua sembuse muingereza na watu weake wa udongo
   
 5. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Wamechemkaaa,....ngwe,ngwe,ngwee,ngweleleeeeee (aka kipusa)
   
 6. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Waingereza baada ya kufall kwa empire,wamechanganyikiwa!
  Huwa na shangaa sana hata katika game kuwaita world class watu kama akina Terry,Lampard,Gerrard na Rooney.

  Wanashindwa kujua kuwa Premiership ni foreigners ndio wanacheza game.
  Rooney is a good player,lakini huwezi hata chembe moja kumfananisha na Messi!Rooney ni power na energy,lakini Messi ni football Brain.Huwezi ukaona Messi ana dive.

  Also media ya UK,inawapendelea hawa watu.angalia dives za Gerrard na Rooney,lakini hawawi punished.
  World Cup watakuwa found,halafu watashut up.
   
 7. senator

  senator JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Teh tehe haya mwana.ILa kiukweli kabisa Wayne bado hajafikia kiwango cha Lione Messi,juhudi binafsi na kipaji ni vitu viwili tofauti..
   
 8. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Mwamba ngozi huvutia kwake. Waingereza hawajaweza kupata wachezaji wazuri tangu walipochukua world cup 1966, hivi sasa wanatapatapa tu na mimi siwalaumi kwa hilo. Wa kulaumiwa ni viongozi wetu ambao kila uchwao kigulu na njia kwenda kwa waume zao huko UK. Hivi kweli tumeshindwa kuweka nidhamu ya kazi hadi leo wanaendelea kutudhulumu mali zetu? Angalia Radar jinsi walivyotuingiza mkenge huku wakijua kwamba tunaibiwa? Ipo siku tena i-karibu hawa watawala watakuwa watawaliwa.

  Mimi naomba wabunge waulize hili swala bungeni fweza za VISA kutoka UK ni ngapi? Je, zinatumika vipi hasa kwenye bajeti yetu maana naona mafisi ya CCM hayaishi London.
   
 9. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hupaswi kushangaa kwa sababu hiyo habari imetangazwa na chombo cha habari cha Uingereza, ulitegemea wanaweza kumsifia Messi kweli.
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Mar 24, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kweli waingereza wanaota ndoto za mchana, leo kwenye kipindi cha sport cha cnn, wafanyakazi wa hiyo idara ya michezo cnn waliulizwa mmoja mmoja kati ya messi na maradona nani mkali wengi walisema messi mkali lkn pedro pinto akasema km kwenye club level messi ni mkali coz keshabeba makombe kibao lkn country level bado diego mkali coz ashabeba world cup wakati messi bd na hata hiyo juni kikosi chao hakipo organised kiiivyo.
   
 11. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #11
  Mar 24, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0


  Hakuna nchi yenye hypocrisy kama UK.
  Walipootuuzia radar fake ,na serikali ya New Labour ndio nilipoona ujinga wao.Viongozi wa Kenya wengi walinyimwa visa ya kusafiri kwa ajili ya ufisadi.Mtakumbuka saga ya balozi fulani wa UK Kenya alipowaita glutons!

  Sasa Tanzania tumeipita Kenya kwa ufisadi,sijasikia hata leo wametangaza kuwanyima visa watuhumiwa wote wa hizi scandal.Ukiangalia history ya Tanzania tangu Wajerumani watutawale,naona afadhali ya wao kuliko hawa Waingereza.Walijenga reli,mchango wa Lutheran church katika elimu etc etc.

  Serikali ya UK,imekuwa mbele kuzibribe nchi zetu kwenye budget support ,ili kupata tender kama hizi za Radar na kuinfluence policy za nchi.
  Mashirika kama Price Waterhouse,Coopers ,Ernst & Young na kujidai wanajua auditing wameshindwa hata kuzuia ufisadi kataika makampuni mengi ya serikali wanapotoa ushirika.
  Tujiulize fee ngapi zinalipwa kwenye makampuni haya,toka taxpayers money?
   
 12. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160


  teh teh teh - hii imekaa vizuri sana
   
 13. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,988
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  Rooney = white Pele.........................my foot!!
   
 14. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  That's a good idea dude!
   
 15. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Waingereza hawawezi kumpenda muagentina hata kidogo kumbukeni wameanza kusajili waagentina juzi tu, tatizo lao kubwa ni ugomvi wa Uingereza kung'ang'ania visiwa vya falkland , waliwahi pigana vita kwenye visiwa hivyo miaka ya 80 kama sikosei
   
 16. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2010
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  The FIFA/FIFPro World XI:
  Goalkeeper: Iker Casillas (Real Madrid);
  Defenders: Daniel Alves (Barcelona), John Terry (Chelsea), Nemanja Vidic and Patrice Evra (both Manchester United);
  Midfielders: Steven Gerrard (Liverpool), Xavi and Andrés Iniesta (both Barcelona);
  Forwards: Cristiano Ronaldo (Real Madrid), Lionel Messi (Barcelona) and Fernando Torres (Liverpool).

  Rooney hana nafasi hapo.
   
 17. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,988
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  Waliotajwa hapo juu ambao wanacheza nafasi sawa na Rooney wana elegance + class WHILE he is only a muscles material. Hebu compare goal scoring rate yake na eg Torres - utaona jinsi brain ilivyo asset muhimu kuliko muscles:

  Player
  Total career appearances (matches)
  Total Goals scored
  Average score per match
  Wayne Rooney
  475
  172
  0.36
  Fernando Torres
  430
  178
  0.41


  Source - bbc sport
   
 18. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo ya Messi wanayajua Real na Arsenal!
   
 19. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #19
  Apr 11, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Weka link hapa, haya mambo ya kutunga hatuyataki kabisa hapa. Vinginevyo mashambulizi yote kwa waingereza yatakuwa ni kwa mwanzilishi wa thread anayetaka kumfananisha Rooney na Messi
   
 20. A

  Alpha JF-Expert Member

  #20
  Apr 11, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  lol! :d
   
Loading...