RONALDO Jina lililo barikiwa kwenye ulimwengu wa SOKA.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,427
154,270
Wachezaji hawa hamna ubishi kuwa wametoka kwenye mbingu ya soka.
Waliposhushwa duniani wameleta ladha ya ajabu.
Ukibisha utakuwa na matatizo
Ronaldo Luís Nazário de Lima =
Ronaldo de Assis Moreirra = RONALDINHO
Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro
 
At least according to you! where have you left the likes of Pele, Maradona, Beckham, Messi, Villa, Tores, thiery Henry, Frank Lampard, Wayne Rooney, etc.

Stop being biased you sports ignorant
 
Sidhani kama Buji yupo biased, labda hujaelewa kuwa anachomaanisha yeye ni kwamba wachezaji hao wenye majina ya RONALDO wamefanya mambo makubwa sana kwenye ulimwengu wa soka lakini si kwamba wachezaji wengine hawatambui ukiangalia theme ya thread hii ni wingi wa jina Ronaldo na umahiri wa kusakata soka.
 
Asante kwa kutoa ufafanuzi mzuri, jamaa hakunielewa nlichokimaanisha.
 
Sidhani kama Buji yupo biased, labda hujaelewa kuwa anachomaanisha yeye ni kwamba wachezaji hao wenye majina ya RONALDO wamefanya mambo makubwa sana kwenye ulimwengu wa soka lakini si kwamba wachezaji wengine hawatambui ukiangalia theme ya thread hii ni wingi wa jina Ronaldo na umahiri wa kusakata soka.

Ahsante kwa kumfafanulia
 
At least according to you! where have you left the likes of Pele, Maradona, Beckham, Messi, Villa, Tores, thiery Henry, Frank Lampard, Wayne Rooney, etc.

Stop being biased you sports ignorant

Usikurupuke.
Hii ni jamiiforums na sio facebook.
Soma Mada uitafakari kisha uchangie...
 
Wachezaji hawa hamna ubishi kuwa wametoka kwenye mbingu ya soka.
Waliposhushwa duniani wameleta ladha ya ajabu.
Ukibisha utakuwa na matatizo
Ronaldo Luís Nazário de Lima =
Ronaldo de Assis Moreirra = RONALDINHO
Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro

Hapo kwa Ronaldinho ungemalizia na''saint gaucho''.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom