Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,305
- 8,655
Hakufit kwenye Mfumo wa timu na asipofit lazma aondoke tuBaada ya kum replace na zlatan nini kilitokea je na zlatan alikua mbinafsi?
Hakufit kwenye Mfumo wa timu na asipofit lazma aondoke tuBaada ya kum replace na zlatan nini kilitokea je na zlatan alikua mbinafsi?
Kumbe Messi ana asili ya Catalunya?sio Wabrazil tuu hata ambao. sio. asili ya Catalumya wanatengwa na mwisho sanaondoka kwa fedheha.. ref Erick Abidal na Samuel Etto
Daaaaa we jamaa haumjui Delima wewe,yaani wewe umemjua wakati anastaafu soka wewe usidanganye watuNaweza nikawa nimekuzidi umri sana tu mkuu,,,huyo de lima namjua vizuri sana,, so ni wakawaida tu,, ni kama tunavyowaona wakina aguero, lewandowsky, suarez na kane...so wala usiwalazimishe wadau wengine wamkubali....in short tuache kuongeza chumvi pasipotakiwa....
Kuna ukweli asilimia 99 Bacelona wana dharau zao kwa Wabrazil na Waafrika. Ukweli Hata Keita na Etoo waliondoka kwa Aibu
Kwanini sasa unasema etoo alikua mbinafsi? je kama na yeye hakufit kwenye mfumo?Hakufit kwenye Mfumo wa timu na asipofit lazma aondoke tu
Madrid nnMadridogs wa kibongo tushawazoea
Wanamtetea mhanga mwenzAo......,
GauchoHii kitu nlipost kitambo Sana na Hili linazidi Kujifunua
Philipo Coutinho
Arthur mello
Malcom
Hii kitu nlipost kitambo Sana na Hili linazidi Kujifunua
Philipo Coutinho
Arthur mello
Malcom
Gaucho
Pedro, Sanchez, thiago, david villa, fabregas, ibrahimovic, wote wameondoka barca wakiwa na uwezo. Mbona hao hamsemi ni ubaguzi. Kwani barcelona hawaruhusiwi kuuza wachezaji weusi?...dani alves kacheza barca miaka karibu 10 ila juve katimuliwa baada ya msimu mmoja tu japo alikuwa beki bora wa uefa ila walishindwa kumvumilia. Barca waliokaa nae miaka 10 ndio wabaguzi?
huyo de lima namjua vizuri sana,, so ni wakawaida tu,, ni kama tunavyowaona wakina aguero, lewandowsky, suarez na kane
Save this joke, man