Ronaldo atoa 'like' kwa picha inayomkejeli Messi mtandaoni

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
cristiano-ronaldo-lionel-messi-instagram_1km7a1k6p5ycd1qoblsahomwnp.jpg
 
Na mimi nikitoa like kwenye hii post yako itakua mzozo?

Natania mkuu, najua hao ni wapinzani wa jadi.
 
Tatizo haamini kuwa anaweza kuwa bora kuliko Mess.

Ronaldo kazi yake ni kuweka rekodi tu ...... wakati Mess ni rekodi pamoja na burudani.
Messi hana burudani yoyote! Hana vitu adimu usivyovitarajia! Hana kitu kipya uwanjani! Burudani kwenye kandanda ni sayari nyingine! Raia kwenye sayari hiyo ni adimu! Mpaka sasa raia hao ni 1. Pele 2. Maradona 3. Ronadinho 4. Zinedane Zizane. 5. C. Ronaldo. Raia wa sita bado hajapatikana!
 
Mashabk Wa Barca Bna! Ronaldo Yuko Vzr. Messi Amemtangulia Ronaldo Kucheza Hispania, Lkn Anamharibia Messi Rekodi Zake. Ronaldo Katika Mechi Karibu Za Miaka Yote Anakua Na Magoli Zaid Au Karibia Sawa Na Mech Alizocheza. Angalieni Mafanikio Ya Timu Alizotoka Akiwepo Yeye, Ona Real Chini Yake, Angalieni Akiwa Na Timu Yake Ya Taifa. Messi Bacelona Wamemfanya Msukule, Kila Mara Agentina Wamekua Vibonde Wa Brazil. Mnaishia Kusema Burudani, Mnamkumbuka Otega? Au Okocha? Hadi Kanzu Watu Walivaa Miaka Ile Lkn Walifka Wap? Ronaldo Atazfutilia Mbali Rekodi Za Messi, Tuwape Muda.
 
Messi hana burudani yoyote! Hana vitu adimu usivyovitarajia! Hana kitu kipya uwanjani! Burudani kwenye kandanda ni sayari nyingine! Raia kwenye sayari hiyo ni adimu! Mpaka sasa raia hao ni 1. Pele 2. Maradona 3. Ronadinho 4. Zinedane Zizane. 5. C. Ronaldo. Raia wa sita bado hajapatikana!
Umemsahau JJ OKOCHA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom